Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 770
- 2,408
Vijana wawili wanaokuja juu katika sekta ya uchambuzi wa soka nchini. Wote wamebahatika na wanafanya kazi katika taasisi ambazo ni miongoni mwa brand kubwa ukizungumzia nyanja ya michezo na habari kwa ujumla hapa nchini. Napenda sana kuwasoma na kuwasikiliza lakini hadi leo sijaweza kuwatofautisha na kugundua nani anajua zaidi ya mwenzie.
Je, yupi ni mkali zaidi ya mwenzake. Ningependa hoja na facts zitawale katika mjadala huu.
Je, yupi ni mkali zaidi ya mwenzake. Ningependa hoja na facts zitawale katika mjadala huu.