Nani mjanja

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
kulikuwa na watu kumi na moja wamening'inia kwenye kamba iliyoshikiliwa na helikopta,
kati yao mwanamke alikuwa mmoja .
Kutokana na uzito wao kuelemea kamba ikabidi washauriane ili mmoja wao ajitolee maisha yake na wengine wapone,

mwanamke akaamua kujitolea akasema. Kwa kuwa yeye ni mama mwenye huruma na ana watoto pamoja na mume basi haina budi yeye ajitolee kwa ajili ya wanaume wote waliokuwa wameshikilia ile kamba .

Baada ya kutoa hoja hiyo nzito,wanaume wote wakampigia makofi!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mwanamke ndiyo mjanja wa kweli!hii naifananisha na issue ya Dr slaa na wabunge wa Cahdema!!
 
Back
Top Bottom