Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.

Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.

1.Mtu mwenye hofu ya Mungu.

2.Mtu mwaminifu Sana kwa rais

3.mzalendo wa ukweli

4.mpore asiye na makeke na mdomo kasuku

5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga

6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa

7. Asiyekuwa na matabaka

8. Asiyekuwa na kibri

9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga

10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.

Wanaotajwa kuziba nafasi hii

1 . Shamsi Vuai Nahodha

2. January Makamba

3. Seleman Jafo

Je, wewe unadhani wanafaa?

USSR
Wewe ni mpumbavu! Mbona hujamuweka Diamond Platinumz kwenye hiyo list yako?
 
Genta,huwa Nampa kila mtu heshima,hata wasiostahili Kama wewe. Usidhani Mimi siwezi kutukana. Matusi ninayo na Yana chumba chake kabisa yametulia. Ila kwa kuwa jukwaa hili ni la watu waliostaarabika(baadhi) inabidi nisiwakere.

Huwa nakucheki tuu unavowatukana watu humu kwa kujifanya wewe ni fyatu kuliko kila mtu humu.
I don't care.......I have nothing to lose.
Thubutu tu Mkuu.
 
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.

Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.

1.Mtu mwenye hofu ya Mungu.

2.Mtu mwaminifu Sana kwa rais

3.mzalendo wa ukweli

4.mpore asiye na makeke na mdomo kasuku

5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga

6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa

7. Asiyekuwa na matabaka

8. Asiyekuwa na kibri

9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga

10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.

Wanaotajwa kuziba nafasi hii

1 . Shamsi Vuai Nahodha

2. January Makamba

3. Seleman Jafo

Je, wewe unadhani wanafaa?

USSR
Kundi la damu lenye immunity dhidi ya magonjwa ya mfumo wa upumuaji!. Mungu Irehemu Tanzania.
 
Ukiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Usimuonee,huu ni mfumo tu.Magufuli alimteua na kumuapisha Mwigulu wakati Dr Maige hata sanda hajavalishwa.

Bi Mkola vilevile aliapishwa.
WACHAWI WAPO JUU
 
M
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.

Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.

1.Mtu mwenye hofu ya Mungu.

2.Mtu mwaminifu Sana kwa rais

3.mzalendo wa ukweli

4.mpore asiye na makeke na mdomo kasuku

5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga

6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa

7. Asiyekuwa na matabaka

8. Asiyekuwa na kibri

9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga

10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.

Wanaotajwa kuziba nafasi hii

1 . Shamsi Vuai Nahodha

2. January Makamba

3. Seleman Jafo

Je, wewe unadhani wanafaa?

USSR
Makamba mwaondoe kabla sjamfuta haraka Sana anakibri Sana ondoa ondoa
 
Nahodha afaaa......pia JM si mbaya hivyo.....ingawa hajatulia miaka hii 2 nyumba imemshinda....
 
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.

Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.

1.Mtu mwenye hofu ya Mungu.

2.Mtu mwaminifu Sana kwa rais

3.mzalendo wa ukweli

4.mpore asiye na makeke na mdomo kasuku

5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga

6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa

7. Asiyekuwa na matabaka

8. Asiyekuwa na kibri

9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga

10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.

Wanaotajwa kuziba nafasi hii

1 . Shamsi Vuai Nahodha

2. January Makamba

3. Seleman Jafo

Je, wewe unadhani wanafaa?

USSR
January utopolo mlopokaji hovyo
 
Nadhani umefika wasaa wa kumrudisha Balozi wa Tanzania Brazil kada mzoefu wa ccm Ndg Emmanuel Nchimbi aje aongoze wizara ya ulinzi. Ana experience ya kutosha, pili ni kada aliyepikwa vizuri akapikika. Na half way integrity anayo na anakubalika miongoni mwa CCm asili, makinikia na CCm kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom