Ni wazi kuwa mtandao wa JF unazidi kuwa maarufu na kukua kwa kasi, hapa niandikapo JF ina member 99,918 ikiwa ni member 82 tu wamesalia ili kufikia member 100,000. Je ni nani huyo atakeyakuwa member wa 100,000 hapa JF?

Maswali mengine ili kuyajibu inabidi uwe tayari kuhisiwa una tumia nguvu za giza!