Elections 2010 Nani kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni?

PPM

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
838
228
Ningependa kufahamishwa njia inayotumika kumpata Kiongozi wa upinzani Bungeni.
(Ni kwa upinzani wenye viti vingi au vyama vya upinzani vyenye viti bungeni vinaweza ungana na kumchagua kiongozi wao?)
 
Chama kinachofuatia kura za uraisi na majimbo. Ndiyo maana NEC wanajitahidi CUF ionekane ya pili, ili kiongozi atoke upande wa CUF. We all know that CUF is CCM B. And strategically, ni kwamba ikitokea hata serikali ya Mseto, Basi Makamu atoke CUF, kama ilivyo kwa Zanzibar. Hapo ndiyo logic yote ya uchakachaji inaposimamia...stay tuned for next five years of madudu....
 
Naona ni uwingi wa wabunge.
Na kama ikiwa CHADEMA ni kheri awe Lissu
 
Chama kinachofuatia kura za uraisi na majimbo. Ndiyo maana NEC wanajitahidi CUF ionekane ya pili, ili kiongozi atoke upande wa CUF. We all know that CUF is CCM B. And strategically, ni kwamba ikitokea hata serikali ya Mseto, Basi Makamu atoke CUF, kama ilivyo kwa Zanzibar. Hapo ndiyo logic yote ya uchakachaji inaposimamia...stay tuned for next five years of madudu....

Tuwe na akili huru pale tunapotoa maoni yetu...Hive ni kweli CUF imekuwa CCM B leo????? Dont we remember yalotokea 2001, baada ya kuibwa kwa makusudi ushindi wa CUF? watu wakauwawa?? wakimbizi shimoni mombasa??...Yanayotokea leo znz ni matunda ya busara za kuponya maumivu kwa wazanzibari...na matokeo znz yameonesha kuwa hakuna chama kinachoweza kuunda serikali peke yake na ikawa halali. kwani wananchi wamegawika mapote mawili. let us hope we reach that point of having strong opposition in this country which is not biased. Mnadhani CCM wameingia kwa haya maridhiano kwa kuwa CUF walikuwa lelemama? wanaopiga kura kisha viongozi wakawaacha wananchi wadai haki peke yao wao wakitembelea mashangingi? Mtoto wa maalim seif alikimbilia shimoni mombasa kama mkimbizi...LET US OPEN OUR EYES
 
"Kwa kadiri ya mwenendo wa matokeo,chama chenye kupata wabunge wengi ndicho kitakachoweza kuunda serikali ya jamhuri na kile kitakachofuata kwa idadi ya wabunge kitaongoza kambi ya upinzani bungeni...

CHADEMA inaelekea kupata wabunge wengi zaidi ya CUF." ~ RAIA MWEMA 3-9 NOV 2010.
 
Back
Top Bottom