Kalimie kwenuMakamba ni jembe
Kalimie kwenuMakamba ni jembe
Ana vijana wake mtandaoni, huwaambii kitu.Mnamsifia sana makamba sijui kwa lipi hasa. Sijawai muona katika nyazfa zunazo mkutanisha na wananchi moja kwa moja. Sema wamweke tumpime mapema kama ana fit au la.
diblo dibalaYaani Mkuchika umpeleke Ulinzi ni sawa na hii kauli maarufu ya diblo dibala hapa chini
View attachment 1934030
Ummy mwalimu waziri wa fedha???????? Kuwa serious kidogo mkuuHabari za ndani sana za uhakika ni kuwa January Makamba anarudishwa kwenye baraza la mawaziri sasa, huenda akawa ni waziri wa Afya. Dr. Tax anaingizwa baraza la mawaziri (lakini sio wizara ya Fedha!). Wizara ya Ulinzi anapewa Mnzanzibar. Na huenda Ummy Mwalimu akawa waziri wa fedha.
Hizo ni tetesi rasmi.
Usimwagie mboga,ugali wa mtama utalika vipiMwigulu hafai popote labda Burundi
Taarifa ipo roborobo,ilete basi hata nusunusuSALUM MWALIMU anaenda CCM kimkakati au ndo NJAAA mbaya??
Kitu tetesi hakiwezi kuwa rasmi!!Habari za ndani sana za uhakika ni kuwa January Makamba anarudishwa kwenye baraza la mawaziri sasa, huenda akawa ni waziri wa Afya. Dr. Tax anaingizwa baraza la mawaziri (lakini sio wizara ya Fedha!). Wizara ya Ulinzi anapewa Mnzanzibar. Na huenda Ummy Mwalimu akawa waziri wa fedha.
Hizo ni tetesi rasmi.
Kweli.Majibu tunayo wenyeweMwigulu Nchemba ni mchumi first class. Nadhani utakuwa umepata jibu.
KWANI LAZIMA AONDOLEWE MTU? INAWEZA KUUNDWA WIZARA MPYAMwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija
Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.
Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.
Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.
SteveMwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija
Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.
Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.
Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.
Babu Tale Fedha.Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija
Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.
Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.
Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.
Huyu Ummy si ndio alikuja na wazo (brain storming) hili la ajabu la Kodi ya Miamala ? Kwa mawazo yake haya bora akae mbali na hii Wizara nyeti, sidhani kama tupo tayari kwa her brilliant ideas kwa sasa (ngoja kwanza tupumue)Habari za ndani sana za uhakika ni kuwa January Makamba anarudishwa kwenye baraza la mawaziri sasa, huenda akawa ni waziri wa Afya. Dr. Tax anaingizwa baraza la mawaziri (lakini sio wizara ya Fedha!). Wizara ya Ulinzi anapewa Mnzanzibar. Na huenda Ummy Mwalimu akawa waziri wa fedha.
Hizo ni tetesi rasmi.
January Makamba huyu huyu aliyetuletea miswaada ya kubinywa uhuru wa mitandao ya kijamii au mwingine, kwanini tutumie walewale na tusiwe na matoleo mapya, hawa hawana jipya tumewachokaMwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija
Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.
Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.
Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.
Umeenda vizuri ukaharibu mawasiliano, apewe yule NW ni kiboko aisee, Makamba apelekwe kwingine ila sio fedha,mambo ya ndani, ulinzi,madini, mawasiliano.Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija
Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.
Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.
Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.
Alaaa… kumbe… sikujuaUnajua muanzisha Tozo ni VP??
Hao akina Mwiguru ni bahasha tu.
Mbunifu wa ukusanyaji mapato hii nchi ni VP.
Nani msafi huko mzee wangu kuanzia Zama za Tri 1.5 mpk kiama ..Makamba, mwana fisadi na mroho.
😂 😂 😂Unawatakia nini wanyiramba wewe?
Utapigwa Musuli wa mpopo