Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,959
2,000
Comment yako Kama ya kibaguzi na ya chuki kwa mama... Achana na chuki ndugu yangu..nchi ni yetu sote na kikubwa ni kupendana na kuvumiliana kwenye tofauti zetu na misimamo yetu
Chuki itakosekana vipi Kama watu wanabambikiwa kesi za michongo,
Kama kura zinaibiwa waziwazi, Kama uchaguzi wa 2019 ulikua haramu, Kama uchaguzi wa 2020 ulikua batili, Kama watu wanapolewa bahahiri kwenye sandarusi, Kama kina Gwandu mpaka leo hawajulikani walipo, Kama hata mikutano ya ndani ya nyumba inakatazwa lkn yenu ruksa?
 
NAFIKIRE

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
606
500
Next PM Tax kwa sasa wanamjengea ushawishi wa kisiasa kupitia Bung
Kwa Mtazamo na maono yangu mama angewaingiza Mwanri na Makonda kwenye baraza lake la mawaziri ni watu wangemsaidia sana..Makonda pamoja na Makando kando yake..bado ni kiongozi mzuri akipewa wizara ya mambo ya ndani na Mwanri akapewa Tamisemi..watafanya kazi nzuri
 
NAFIKIRE

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
606
500
Chuki itakosekana vipi Kama watu wanabambikiwa kesi za michongo,
Kama kura zinaibiwa waziwazi, Kama uchaguzi wa 2019 ulikua haramu, Kama uchaguzi wa 2020 ulikua batili, Kama watu wanapolewa bahahiri kwenye sandarusi, Kama kina Gwandu mpaka leo hawajulikani walipo, Kama hata mikutano ya ndani ya nyumba inakatazwa lkn yenu ruksa?
Safari ni hatua mkuu..mama amewapa upinzani unafuu sana..sikatai Kuna baadhi ya mambo bado kuyaweka vizuri..Ila kwa mtazamo wangu..upinzani ulipo leo ni pazuri kuliko Jana..Kikubwa mpeni mama ushirikiano..na nyie atawapa ushirikiano..usishangae hata mbele ya Safari akawajumuisha kwenye serikali yake...
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,959
2,000
Safari ni hatua mkuu..mama amewapa upinzani unafuu sana..sikatai Kuna baadhi ya mambo bado kuyaweka vizuri..Ila kwa mtazamo wangu..upinzani ulipo leo ni pazuri kuliko Jana..Kikubwa mpeni mama ushirikiano..na nyie atawapa ushirikiano..usishangae hata mbele ya Safari akawajumuisha kwenye serikali yake...
Deceiver mkuu wa wilaya Kongwa.
Kwanza kabisa namuweka ndani Ndugai masaa 24 halafu akitoka sitaki kumuona kwenye wilaya yangu
 
Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,448
2,000
Comment yako Kama ya kibaguzi na ya chuki kwa mama... Achana na chuki ndugu yangu..nchi ni yetu sote na kikubwa ni kupendana na kuvumiliana kwenye tofauti zetu na misimamo yetu
sasa umeona kwamba frustrations zake za 2025 zinapolielekeza Taifa. Bunge ni muhili unaojitegemea, inakuaje speaker anajihudhuru kwa sababu ametofautiana na Rais?

Mbona Mzee Sitta alitofautiana na Kikwete hakujiudhuru kwa aibu namna hii.
 
Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
18,663
2,000
Hili baraza bado lina watu wanashangaza sitaki kuamini Uwepo wa Ndalichako Kwenye Wizara nyeti kama Elimu

Joyce arudishe mfumo wa Point madogo wanafaulishwa sana siku hizi.

Darasa la 7 wapewe mitihani wajaze karatasi nyeupe sio maswali ya kuchagua mpaka kwenye hesabu
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,959
2,000
Joyce arudishe mfumo wa Point madogo wanafaulishwa sana siku hizi.

Darasa la 7 wapewe mitihani wajaze karatasi nyeupe sio maswali ya kuchagua mpaka kwenye hesabu
Joy is a disgrace to this country.
Kwa utendaji huu wa multiple choice hata kwenye hesabu surely the nation is nose diving.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,959
2,000
sasa umeona kwamba frustrations zake za 2025 zinapolielekeza Taifa. Bunge ni muhili unaojitegemea, inakuaje speaker anajihudhuru kwa sababu ametofautiana na Rais?

Mbona Mzee Sitta alitofautiana na Kikwete hakujiudhuru kwa aibu namna hii.
Lakini kilichomtokea Sitta si hata wewe Ni shahidi.
Apana chezea the PRESIDENCY.
Kumbuka pale humchezei president Bali presidency.
Tukana, kebehi sana lkn sio sitting president. Akiondoka hata sharubu zake chezea.
Kuna mtu/watu walimtukana Kikwete 2007/8 kwenye mitandao wakiwa Ulaya. Unajua wako wapi Sasa hivi?
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,959
2,000
Bashe...out ...
Na yule mrundi wa madini.
Hivi warundi wanajipenyeza vipi Hadi kwenye Baraza la mawaziri?
Baada ya Ile Vita yao ya 94 ndio nilikuja kugundua kwamba kumbe tulikua na warundi wengi sana sehemu nyeti sana za nji hii. Hii Ni baada ya wao kuondoka na kwenda kuunda serikali yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom