Chuki itakosekana vipi Kama watu wanabambikiwa kesi za michongo,Comment yako Kama ya kibaguzi na ya chuki kwa mama... Achana na chuki ndugu yangu..nchi ni yetu sote na kikubwa ni kupendana na kuvumiliana kwenye tofauti zetu na misimamo yetu
Kama kura zinaibiwa waziwazi, Kama uchaguzi wa 2019 ulikua haramu, Kama uchaguzi wa 2020 ulikua batili, Kama watu wanapolewa bahahiri kwenye sandarusi, Kama kina Gwandu mpaka leo hawajulikani walipo, Kama hata mikutano ya ndani ya nyumba inakatazwa lkn yenu ruksa?