Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

Kutokana na utoroshwaji wa rasilimali zetu kama madini vilevile ukosefu wa nishati ya uhakika haswa umeme katika sehemu mbalimbali ya nchi, na kwa kuwa Mh Waziri Angellah Jasmin Kairuki yupo makini katika kuhakiki basi ni vyema ikikupendeza umteue Waziri Kairuki katika Wizara hiyo inayohitaji uhakiki endelevu wa rasilimali za Taifa
 
Duh, huyu jamaa haeleweki kabisa.

Upepo umebadilika
 
Kutokana na utoroshwaji wa rasilimali zetu kama madini vilevile ukosefu wa nishati ya uhakika haswa umeme katika sehemu mbalimbali ya nchi, na kwa kuwa Mh Waziri Angellah Jasmin Kairuki yupo makini katika kuhakiki basi ni vyema ikikupendeza umteue Waziri Kairuki katika Wizara hiyo inayohitaji uhakiki endelevu wa rasilimali za Taifa
Hongera Nabii
 
Back
Top Bottom