Nani khasa huyu Ali Mwinyi Tambwe...Mzalendo, jasusi, shujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar 1964?

The lovers of romance can go elsewhere for satisfaction but where can the lovers of truth turn if not to history? ~Katharine Anthony
Tazama mtu yule akajibu kwa lugha isiyoeleweka na tena haikuwa rasmi kwake ni lugha ya Watumwa basi wakashindwa kuelewana na Kikao kikaamua kupitisha Sheria ile ya "Historia ya jana haiwezi kubadili historia ya kesho" Waerevu 10: 2-4
 
Rais ni mtu wa umma na swali lolote la kumhusu mi halali hapa majlis ya wananchi, na wewe umepewa hishma ya kuulizwa swali.

Kama mwanahistoria kuna vizazi vitakuja kuuliza kama rais alijua kula chapati kwa mchuzi.

Una wajibu wa kutoa ujualo.

Raia Mwema limemwandika Ali Mwinyi Tambwe katika moja ya makala zake katika toleo la Julai 5 - Julai 11, 2017. Binafsi nimemfahamu Ali mwinyi Tambwe toka utoto wangu. Nilikutana na Ali Mwinyi Tambwe katika Nyaraka za Sykes wakati wa utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes na hivi ndivyo nilivyomwandika Ali Mwinyi mzalendo aliyefanya mengi lakini yeye mwenyewe hakupenda kuyaeleza:
 
Tazama mtu yule akajibu kwa lugha isiyoeleweka na tena haikuwa rasmi kwake ni lugha ya Watumwa basi wakashindwa kuelewana na Kikao kikaamua kupitisha Sheria ile ya "Historia ya jana haiwezi kubadili historia ya kesho" Waerevu 10: 2-4

Matendo ya mitume 17:
26 Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;
27 ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.

Nyakati = history (refer bible in English).
 
Wewe link zako huchelewi kuniwekea virusi hata sikuamini.
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1955, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..
 
Documentation ni muhimu kweli kwenye maisha yetu ya kila siku.....mie huwa najifunza vitu vingi sana kuhusu historia ya nyuma haijalishi kuna ukweli ama upungufu lakini mwisho wa siku ninakuwa nimepata mwanga flani
 
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1955, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..

What has that got to do with the price of pork in China?
 
Raia Mwema limemwandika Ali Mwinyi Tambwe katika moja ya makala zake katika toleo la Julai 5 - Julai 11, 2017. Binafsi nimemfahamu Ali mwinyi Tambwe toka utoto wangu. Nilikutana na Ali Mwinyi Tambwe katika Nyaraka za Sykes wakati wa utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes na hivi ndivyo nilivyomwandika Ali Mwinyi mzalendo aliyefanya mengi lakini yeye mwenyewe hakupenda kuyaeleza:
Lililoulizwa hujajibu na ulilojibu halijaulizwa.
 
Matendo ya mitume 17:
26 Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;
27 ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.

Nyakati = history (refer bible in English).
Baada ya Sheria ile kupitishwa na kuanza kutumika. Kukajitokeza kundi la Watu wasiokuwa na ulewa(Punguani) wakaendelea kupinga kwa kuleta maandiko yasiyokidhi Matakwa ya Jamii ile nalo kundi hilo likakosa Ushawishi katika jamii yake. Sheria ile inakaendelea kutawala Vizazi na Vizazi. Waerevu 20: 2-6
 
Al Watan,
Historia isingemfahamu Ali Mwinyi Tambwe kama si kule
kwake kwanza kutajwa katika Nyaraka za Sykes na mimi
kueleza historia yake.

Lakini mimi nilimwandika kama mzalendo na mmoja wa
viongozi katika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na katika
TANU.

Hii ndiyo ilikuwa historia yake kama ilivyokuwa katika nyaraka
hizo.

Mwaka wa 2012 katika mazungumzo na marehemu Kitwana
Kondo
ndipo akanifahamisha kuwa Ali Mwinyi Tambwe alikuwa
jasusi katika Special Branch.

asBnTK9_YMihoifFFVP9xo_-3COLMnJM2RLu1OHao7-6RsV2Cnge9FR3Nakmg1AiP4opmazoQKdePyeprr4H9BPCyuJUoIFxsohipTKme8qjFsBHzPQ3PV_TYZX--l-awSqtir-1CTlxgemOoCtHHAaKN70clkUTju2ZnoRZDiOnCN9fh_CIhEuP_WZOms1dj-41vrqsMgy0UFcXimbnERj9ngU5rNlh5DHydzEzlveB3-qCUH9biCXT48vPv-wOIxsF3DbFSUtNsjHpKmY6_Hq9mfzs4OD3zOXsyOxxgohu9OMlJvMiFdb7yHQfRuWtjqEcr91bnxJTc9bncKh29DjJqPyEf7gkxzqL9FI0HyId8KgIgENDRHk8JqHlhmCYe1hUS8eucGyoJXgMpIxE_NEEBplb9uQdynYDYUlGQMC4BLAnRs7NGgSE6ksbnDYo8mvuaGc7nBj2rGyky1gw4HlhIr3EhBRtgUy3yi9AgtufqWqWnltZC71UuRJljoUiPVxd8Nd5HcZGdUU2JGO7y0YkiCWgxBZHVy7HEZxtc61Qb3OO_9vJU8WNHSEFN7nLAyWyUf39V3axZSXREMdhjQ8LFn_GpQeKU0WFNVwi-onEhfNz7A=w480-h320-no

Mzee Kondo na Mwandishi hii ndiyo siku aliponisomesha kuhusu Ali
Mwinyi Tambwe
ilikuwa tarehe 12 September 2012 kabla ya mahojiano
ya TV Imaan

Historia hii nikaifungulia uzi hapa Majlis.
Inaelekea hii imekupita hukuisoma.

Sasa kichwa cha uzi huu ni kutoka makala ya Ezekiel Kamwaga
nami nikaiongezea maneno.

Ukimsoma Ali Mwinyi katika uzi wangu uliopita na ni audio utamjua
huyu mtu alikuwa nani.

In Shaa Allah nitakuwekea link.
Hapa ni Elimu tu Bila Khiyana chembelecho Maalim Faiza.

Al Watan ingia hapo chini:
Mohamed Said: KISA CHA ALI MWINYI TAMBWE NA KITWANA SELEMANI KONDO 1950s
<iframe width="560" height="315" src="Kisa Cha Ali Mwinyi Tambwe - YouTube" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1954, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..
 
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1954, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..
 
Baada ya Sheria ile kupitishwa na kuanza kutumika. Kukajitokeza kundi la Watu wasiokuwa na ulewa(Punguani) wakaendelea kupinga kwa kuleta maandiko yasiyokidhi Matakwa ya Jamii ile nalo kundi hilo likakosa Ushawishi katika jamii yake. Sheria ile inakaendelea kutawala Vizazi na Vizazi. Waerevu 20: 2-6

Safi sana naona unanipa historia iliyomo ndani ya biblia.
 
Hilo jibu kwa Faizafoxy.

Bado unanipiga chenga kunijibu kama Magufuli ataweza kula chapati kwa mchuzi Saigon.
Al Watan,
Hapana mwenye kupiga chenga ni wewe kwani uzi huu unafahamika
mantiki yake lakini wewe unaleta mambo ambayo kwa kweli si ya
kiungwana.

Sijuia Saigon na chapati zinaingiaje hapa.
Kubwa naona unataka kufanya istizai kwa kutumia jina la rais.

Yako mengi naamini ya maana tunaweza tukajadili hapa hata kama
hatukubaliani kuliko haya unayoleta hapa hivi sasa.

Maalim Faiza kakuasa kuhusu kuhamisha magoli lakini inaelekea hutaki
kusikia wala kukatazika.

Ikiwa mjadala huu ni mzito kwako huuwezi si lazima uchangie unaweza
ukabaki kuwa msomaji.
 
Al Watan,
Hapana mwenye kupiga chenga ni wewe kwani uzi huu unafahamika
mantiki yake lakini wewe unaleta mambo ambayo kwa kweli si ya
kiungwana.

Sijuia Saigon na chapati zinaingiaje hapa.
Kubwa naona unataka kufanya istizai kwa kutumia jina la rais.

Yako mengi naamini ya maana tunaweza tukajadili hapa hata kama
hatukubaliani kuliko haya unayoleta hapa hivi sasa.

Maalim Faiza kakuasa kuhusu kuhamisha magoli lakini inaelekea hutaki
kusikia wala kukatazika.

Ikiwa mjada huu ni mzito kwako huuwezi si lazima uchangie unaweza
ukabaki kuwa msomaji.
Kuntu kaka Mohamed Said
 
Gangongine,
Hapana sijaelewa.
Nifafanulie kwa hisani yako.
Kwamba anayetoa idhini ya kuchapisha anaweza kukataa kwa maoni kwamba kuna upotoshaji wa Historia. Lakini kumbe hakuna upotoshaji wowote ndani ya Makala husika bali ni tofauti ya mtazamo tu!
 
Hofu kubwa waliokuwanayo ni kule kubadilika historia ya uhuru
wa Tanganyika kwa kiasi kikubwa sana.

Fikra iliyokuwa imetamalaki ni kuwa TANU iliasisiwa na Nyerere 1954.
Mimi nikawa nimekuja na historia nyingine kabisa na kwa ushahidi.

Nilianza na Kleist Sykes 1929 akiasisi African Association na kwa ushahidi
wa mswada alioandika mwenyewe kwa mkono wake.

Historia hii ni maarufu haina haja ya kuirejea.

Kuadhimisha Saba Saba kuundwa kwa TANU nimeandika hii makala hapo chini:
Mohamed Said: WALIFIKAJE TAREHE 7 MWEZI WA SABA 1954 NA KUASISI TANU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom