nani kawatoa udsm daruso na nani kawarudisha Tahiliso

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
katika jukwaa hili la vijana wa sasa nakumbuka nilikua mmoja wa watu waliosain memorandum off understanding ya kujitoa tahihiliso baada ya udom kujikuta wanatumika na sasa mpaka raisi kipra yeye anairudisha pasipokujua sisi tuliitwa wahuni na magembe leo anawapeleka wapi vijana wa kitanzania.na baada ya hapo nini kinaendelea na je ni halali na haki yake yeye kuvuliwa napenda kuunga mkono hao wengine walikataa sasa kwa nini awe hivyo jamani
 
nadhaniu wewe unamajibu yote kama mchakato wa kujitoa unaujua basi hata mchakato kurejea you must know
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom