Nani kawapa kibali Polisi cha kuzuia mikutano ya siasa

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Ukiangalia sasa polisi wameanza kuvuka mipaka ,hivi ni kweli Mheshimiwa Magufuli alizuia mikutano ya siasa na polisi ndio wanaifanyia kazzi kauli hio ?

Mheshimiwa magufuli assipoangalia Jeshi la polisi litamtosa pabaya na ndio tulipofikia ,polisi hawaonekani katika kusuia kwa maana malalamiko yote ndani ya nchi na nje ya nchi yanamiminwa kwa Mheshimiwa kuwa anaibinya demokrasia.

Leo hii vyama vya upinzani vikiamua kufanya mkutano kwa kufuata sheria ambayo moja ni kutakiwa kuiarifu [olisi kwa ajili ya kutoa ulinzi na si zaidi ya hilo,nchi itaingia kwenye machafuko kama yale ya Zanzibar ,ngangari walipoamua kufanya maandamano na kufanikiwa kuyafanya polisi waliingia kwenye matatizo na mpaka leo Mkapa anasakwa na wapemba kwani wanaamini kabisa yeye nddio kinara wa mauaji yale.

Ni bora Magufuli akafanya juu chini kuondoa utata la si hivyo njia moja ya upinzani kupenya na kumshinda Magufuli na chama chake ni upenyo wa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa ,akipafungua hapa upinzani utaingia katika wakati mgumu kushindanda na sera za magufuli.
 
Dicteta Namba moja nchi hii ni Mbowe.

Ukitaka kukutana hasira yake gombea uenyekiti Wa chadema, au muulize alimpataje mgombea urais Wa 2015??


Bavicha wazibiti kwanza udikteta wa Mbowe
 
Hata rais nani anampa mamlaka ya kuzuia viongozi wa kitaifa kufanya siasa.jibu ni katiba.kama yy katiba imempa mamlaka ya kuongoza atambue kuwa ata wao pia viongozi wa upinzani wamepewa mamlaka na katiba
 
Back
Top Bottom