Nani kawaficha Said Lugumi, Angela Kizigha? MAFISADI wawili waliokwapua kifisadi zaidi ya Shilingi bilioni 74, fedha za wananchi, bado wako mtaani

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
914
1,000
Nani kawaficha Said Lugumi, Angela Kizigha?

MAFISADI wawili waliokwapua kifisadi zaidi ya Shilingi bilioni 74, fedha za wananchi, bado wanaonekana mitaani na kwamba “hawagusiki.”

Je! Serikali ya JPM inapambana na mafisadi wapi?

IMG_20200713_144420.jpg
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
16,416
2,000
Nani kawaficha Said Lugumi, Angela Kizigha?

MAFISADI wawili waliokwapua kifisadi zaidi ya Shilingi bilioni 74, fedha za wananchi, bado wanaonekana mitaani na kwamba “hawagusiki.”

Je! Serikali ya JPM inapambana na mafisadi wapi?

View attachment 1505546
Hawa walikula na wengi huko wizara ya mambo ya ndani wakiwemo makamanda wastaafu na baadhi ambao wapo kazini sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom