Nani katuunganisha?na lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani katuunganisha?na lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bakuza, Jan 16, 2011.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Zanzibar ni Muungano wa visiwa viwili;Unguja na Pemba kutokana na maelezo hayo
  ya kihistoria naomba wana JF mnisaidie yafuatayo:-
  1.Visiwa hivi viliungana lini kisiasa na kitamaduni mpaka kuwa eneo la nchi moja kabla ya kuungana na Tanganyika?
  2.walikuwa ni viongozi gani waliounganisha visiwa hivi?
  3.ilikuwa ni ni Mwaka gani na makubaliano yalifanyika wapi?
  NB:Nadhani tukilijua hili nadhani linaweza kutuongoza kujua jinsi ya kuishi na watu hawa ktk Muungano unaounda Tanzania.
  Naomba msaada kwenu wana JF.

   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tanganyika kabla ya Mjerumani ilikuwa ni part of Zanzibar, cha kufurahisha, hii leo imemezwa kabisa na Zanzibar. Tanganyika haipo kabisa hata kwenye ramani huikuti.
   
Loading...