Nani kati ya hawa wanasiasa chadema anafaa kuwa raisi wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kati ya hawa wanasiasa chadema anafaa kuwa raisi wa tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wamapalala, Jul 1, 2012.

 1. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145
  Kadri siku sinazokwenda inajidhihilisha kuwa ni Vyama Vitatu tu ambavyo vina uewezekano usiopingika wa kutoa Raisi wa awamu ya tano Tanzania (CCM, CHADEMA NA CUF).
  Nisingependa kuongelea Wagombea Uraisi binafsi mpaka hapo katiba mpya itakapo litambua hilo.
  Kwa kuanzia na hii toli (thread), ningependa mchangiaji utoe mawazo yako ya nani anafaa kati ya hawa Wanasiasa wa CHADEMA na sababu zipi zinakufanya ufikilie kama ana uwezo kisiasa wa kuwashinda wagombea wa vyama vingine ya siasa.
  Pia kama unafikilia katika orodha hii kuna Mwanasiasa sikumtaja, tafadhali bandika jina lake na utoe sababu lakini kumbuka katiba ya Tanzania, Ibara ya 39, Ibara ndogo ya (1), kifungu kidogo (a-e ). Mwanasiasa lazima awe na umri si chini ya miaka 40 na haisemi lolote juu ya kiwango gani cha elimu, kwa maana hii, elimu siyo kigezo kinachomzuia Mtanzania kugombea nafasi ya Uraisi.


  Nitatoa majina pia ya Wanasiasa wa vyama vya CCM na CUF katika toli(thread) nyingine ili wana janvi tuchangie.


  Ikumbukwe dhumuni langu kuu siyo kupiga kura za maoni au kutoa kashfa zisizo zibitishwa bali ni kuchangia mawazo kuona ni jinsi gani sisi kama wananchi wa kawaida tungependelea awe kiongozi wetu wa Taifa.
  Nitakuwa ninakusanya maoni kila baada ya saa sita usiku na kuona ni Mwanasiasa yupi wanamtandao mnafikilia zaidi kama awe ni kiongozi wa Taifa.


  Janvi ni lako, litawaliwe na nguvu za hoja na sio hoja za nguvu.


  Changia...


  Freeman Aikaeli Mbowe-Mwenyekiti
  Dk. Willibrod Peter Slaa-Katibu
  Tundu Lissu-Mbunge(Singida Mashariki)
  Philemon Kiwelu Ndesamburo-Mbunge(Moshi Mjini)
  Prof. Kulikoyela Kanalwanda Kahigi-Mbunge(Bukombe)
  Simon Peter Msigwa-Mbunge(Iringa Mjini)
  Mabere Marando-Mjumbe wa Kamati kuu
  John Magale Shibuda-Mbunge(Maswa Mashariki)
  Joseph Roman Selasini-Mbuge(Rombo)
  Mustapha Boay Akunaay-Mbunge(Mbulu)
  Said Amour Arfi-Mbunge(Mpanda Mjini)
  Prof. Mwesiga Baregu-mshauri wa kisiasa  Update: 3th July

  Katika watu waliochangia mpaka usiku wa leo, Freeman Aikaeli Mbowe na Dr. Willibrod Peter Slaa wanafungana katika idadi ya watu waliopendekeza wawe Raisi wa awamu ya tano wakifuatiwa na Tindu Lissu, Peter Msigwa na John Shibuda

  Janvi bado liko wazi
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani kwa sasa tuhangaikie tukio la Dr Ulimboka na mgomo wa madaktari.Mambo ya ugombea Urais kwa sasa hayana nafasi.
  Rais wa awamu ya 5 anajulikana ni Dr Wilbroad Slaa.Ya nini kupoteza muda kujadili hapa?
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Sisi rais wetu tayari tunaye mioyoni mwetu tunasubiri tu ifike 2015

  wewe mtizamo wako ni upi kama mtz?
   
 4. c

  chama JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna hata mmoja!!

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  peter msigwa anafaa
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  inamana anayefaa kwako kuwa Rais ni Shehk Ponda?
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu wa Israel amlinde Rais wangu Dr. Slaa. Amen
   
 8. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  subiria mwaka 2015 utapata jibu sahihi
   
 9. +255

  +255 JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Hapo labda Shibuda tu, hao wengine 'big zero'
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ndio anajulikana Rais kivuli wa Tanzania.
   
 11. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145
  Mtazamo wangu ninadhani Freeman Aikaeli Mbowe anafaa na ameonyesha uelevu na upeo mkubwa katika siasa ukilinganisha na kipindi alichogombea hii nafasi ya Uraisi.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hebu tupe maendeleo ya dokta huko majuu!
   
 13. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  apo ayupo,ila ni yule mwana wa daudi yesu kristo ndo anafahaa.
   
 14. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anayefaa kuwa Rais ni Prof Lipumba pekee kwa hali tuliyofikia hivi sasa, ukimkataa unasukumwa na UDINI NA UKASKAZINI.
   
 15. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  tuache ushabiki wa vyama na viongozi wao,kwani mstakabali wa nchi yetu upo kwa YEHOVA!
   
 16. w

  wakuziba Senior Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwangu mimi zitto kabwe anafaa. sina hakika kama 2015 atakuwa ametimiza miaka 40. mwenye elimu na umri wake anijuze
   
 17. salito

  salito JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  nmepotea jaman nishusheni...
   
 18. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145

  Zitto kabwe katika record, amezaliwa 24th Sept 1976 na elimu ni kiwango cha master
   
 19. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145

  Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi huwa havizungumzii lolote kuhusu siasa za Africa achalia mbali siasa za Tanzania. Kuiona habari yoyote ya Tanzania mpaka jambo fulani la kihistoria au la kutisha litokee., ie Mauaji ya ajabu au raia wao apate tatizo akiwa Africa(Tanzania).
   
 20. r

  richone Senior Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  freeman mbowe watanzania tukimwanini naamini anatufaa sana kwani ameonyesha utulivu na ubunifu katika kutatua na kutoamwongozo wa nchi yetu.
   
Loading...