Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Ni jamaa zangu wa karibu. Mmoja ni X na mwingine Y. Wote wana watoto na wote wameoa. X ana mtoto ambaye kamzaa NJE YA NDOA miaka mitano baada ya kuoa wakati Y ana mtoto ambaye alimzaa miaka mitano kabla ya kuoa. Tatizo ni kwamba Y anaona yuko sahihi kwa vile alizaa kabla ya kuoa na anamlaumu sana X kuwa ni mkosaji kwa kuzaa nje ya ndoa. Imekaaje hiyo wadau?