Elections 2010 Nani kashinda na CHADEMA Rombo?

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
WanaJF naomba mnijuze...

Asubuhi ya leo nilimsikia Mnyika akisema kuwa mchakato wa kumpata mgombea ubunge Rombo umekamilika na ulikuwa mkali sana. Nani kashinda?
 
pole kaka kichwa cha habari hakikueleweka vema. Jitahidi kuandika vema , swali lako sina jibu ni matum aini yangu utapata jibu lako
 
Tulia ndugu na punguza presha; wewe ndio ulimsikia nani atakujibu? ilikuwa chombo gani cha habari maana mbowe kasema usiwe unasikiliza kila kitu unakiamini kichunguze kwanza-tetetetete joke mkuu
 
Jamani nina interest sana na siasa za Rombo (mcheza kwao...) Mnyika alikuwa anaongea Star TV. Mnyika haumo humu? Tunataka tuanze kuanalyse kama tutafanikiwa kulitia jimbo letu mikononi mwa CHADEMA, si mnajua Mramba Karudi?
 
Back
Top Bottom