Elections 2010 Nani kasema wasimamizi wa Uchaguzi hawataki mabadiliko?

Nimeteta na msimamizi mmoja wa uchaguzi, Kura yake keshampa Slaa. Sasa sijui yule utamfanyaje ili achakachue matokeo! Ngoja tusubiri lakini
 
jamani tume ya uchaguzi ilikuwa haijajitayarisha au? mbona hitilafu zimekuwa nyingi? karatasi za kupigia kura hazijatosha sehemu nyingi ............aggggrrrrrrrrr
 
Zote sawa tu Preta dipu,pipu, bibu na bipu!!!! Ni kugeuza b, upside down, back front etc. :smile-big:

kugeuza b kuwa p tena.

basi kama ni hivyo unaweza geuza hata b au p kuwa d. And that will sound more interesting like a new 'thread'.

Sasa turudi kwenye mada ya Mwanakijiji
 
PJ said:
Nilikuwa aidha nimesahau, au sijafikiria hili!
Hata JWTZ waliopaki magari pale Mwananyamala Hosp pia wanatamani mabadiliko...
Huh...kumbe wakati mwingine tunakuwa unnecessarily waoga!

Nasikia wanajeshi hawa kupiga kura na ndio wale walio na life la chini sana wakati wakubwa zao ndio wanakula bata.
 
@preta ametumia kiibodi ya kinanda basi......
Nilijuwa huwezi kuipotezea hiyo.....pipu
 
muda wa kuutest uvumilivu umefika!... Tujitayarishe kupokea matokeo, whether ni mabaya au mazuri, ya kweli au yamechakachuliwa!
 
Back
Top Bottom