Nani kasema wasimamizi wa Uchaguzi hawataki mabadiliko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kasema wasimamizi wa Uchaguzi hawataki mabadiliko?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 31, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile.... Hawa ndio watalinda hizi kura kwa uhakika

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli watanzania tunataka mabadiliko. Tumechoshwa na propaganda!!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu MMKJJ, heshima mbele. Angalau ungeweka ka-uthibitsho kidigo ili unitie furaha na hayo unayosema!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa aidha nimesahau, au sijafikiria hili!
  Hata JWTZ waliopaki magari pale Mwananyamala Hosp pia wanatamani mabadiliko...
  Huh...kumbe wakati mwingine tunakuwa unnecessarily waoga!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  babaangu ambaye ilikuwa ukiongea vibaya kuhusu CCM ni matatizo na alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama kabla ya kustaafu leo hii kanambia mwanangu kura yako itendee haki Mpe DR Slaa .. naona kila mtu anahitaji mabadiriko ..namshuru babaangu kwa kulitambua hilo
   
 6. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Katika jimbo langu wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wa vituo uchaguzi asilimia kubwa ni waalimu wa shule za msingi. Wasiwasi wangu ni kuwa, kwa kuwa wameondolewa kwenye maeneo yao ya kuishi, hawataweza kupiga kura kwa mujibu wa maelekezo ya Jaji Lweis leo asubuhi kuwa, mtu hawezi kupiga kura katika kituo ambako hayumo kwenyer orodha ya daftari la wapiga kura!!! Sasa sijui kama wasimamizi hawa wa uchaguzi nao wataleta mabadiliko gani ikiwa hata kupiga kura hawataweza???!!!
   
 7. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  MM, evidence?
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Huh! wapiganaji wamepaki hospitalini?...............Nini maana yake? hebu tujulisheni Dododma katikati ya mji kuko shwari ni jumapili kama jumapili nyingine!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Bravo!:A S-cry:
  Nipe namba yake ya simu nim'dipu' anipigie!
  Hawa ndio wazee wachache wanaowaza kwa vichwa!
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Broda kwani hujasoma threads zote za leo?
  Kuna magari zaidi ya 10 ya JW yamepaki jirani na M'Nyamala Hospitali, wakisubiri amri kutekeleza lolote!
  Sijui ndo hao ambao wana yale mabox ya kura za Mzee za toka huko Ngerengere jeshini?..not sure!
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani hata kama hujui kusoma....hata picha huelewi
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Mimi sina imani na waangalizi wanaotoka Black Continent tu. Wanaotoka kwa wahisani, hasa Ulaya na America angalau
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Yeomiiiii! Unambipuje mzee wa watu?
  Kuna kitu nimegundua, watu wengi wanaohojiwa wengi, neno ''mabadiliko'' halikosekani midomoni mwao. Hicho ni kiashiria kuwa...(dash dash dash)
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  U just can't nap Preta lol!

  Picha nyingine zimefutika je.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mbavu sina.

  umenikumbusha mzee mmoja ni 'boss sumatra' lakini hawezi kusema 'bipu'
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kama picha nazo zimefutika...basi unamuuliza jirani yako anayejua kusoma nini kimeandikwa
   
 17. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  DOM SHWAAALI. ILA UPINZANI UBUNGE NI HAFIFU SANA, URAIS NI SLAA TU. MI NISHAPIGA KURA YANGU KWA Dr WA UKWELI..
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  so wichi is wichi.....dipu or pipu?
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  i just screwed it.

  i meant 'bipu'

  (unajua tena .... niliandika nikiwa nacheka)
   
 20. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,566
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Zote sawa tu Preta dipu,pipu, bibu na bipu!!!! Ni kugeuza b, upside down, back front etc. :smile-big:
   
Loading...