Nani kasema Hip Hop Haiuzi?

streat Anthem

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
395
474
Nimekaa nimetafakari nikakumbuka wimbo wa Madee uitwao Hip Hop haiuzi, kiukweli ukitazama kwa kina utakuta ni kauli ya mtu aliekata tamaa na kitu anachokifanya na hii imefanya watu wengi wenye talent na aina ya mziki huu kukimbia na kutafuta kivuli katika miti mingine wakidhani msitu was Hip hop umenyauka Lakini kutokana na juhudi za watu wasiokata tamaa walihakikisha wanarudisha hadhi na heshima ya muziki huu pendwa na rika zote..tumeshuhudia wasanii kama Fid Q, Weusi, Tamaduni Music, Darasa na wengine wengi wakifanikisha mapinduzi haya. Mpaka dakika hii Music wa Hip hop ndo huko juu kutokana na wimbo wa Darasa kufanya vizuri, Wito wangu kwa wanaharakati wote nikuendelea na mapambano kuhakikisha hii hadhi tuliyonayo haishuki ili tuweze kushika usukani katika gurudumu la hii tasnia ya muziki Tanzania.
 
Umenukuu wimbo wa Madee unaosema Hip hop haiuzi,sasa baada ya kututajia wale waliouza wewe unatuletea zilizo hiti kitaa,lete takwimu wimbo fulani umeuza au umefanikisha msanii fulani kupata maisha fulani ambayo hakuwa nayo kabla .............???
 
Soma vizuri huu Uzi..Hip Hop imevadilisha maisha ya watu wengi mfano Weusi nk..hiyo iligohiti kitaa inaonesha ni kwa namna gani raia wanavyokubali Hip Hop na kukubalika ndo kuuza kwenyewe maana msanii atapata shows, matangazo nk.
 
Darasa ni msanii wa Hiphop, but huu wimbo wake mpya 'Muziki' sidhani kama ni Hiphop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom