Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 420
Ni kweli kugombea urais ni haki ya kila mwanachama isitoshe hata Dr slaa nadhani afya na umri hata weza tena vinginevyo tutarajie miujiza kuwa na Vikongwe Kama wakina kingunge
Dr age umekwenda sana hata kutembea tabu ila kinywa kiko poa anaweza kusema chochote na kuagiza lolote..
Nadhani tuanze kufikiria Kati ya Hawa MBOWE . TUNDU na AKONAY hapo vipi?
Kijana kumbuka "Ukubwa wa Pua sio wingi wa Kamasi" je hawa vijana ambao tulijua wangetutoa hapa tulipo je wametufanyia nn? Unamuona Jk kafanya nn mpaka sasa anaweza jivunia? ajivunie Ufisadi ama? Tizama Machael Satta ana umri gani na nn anawafanyia Wazambia? Think again