Nani kasafiri duniani kumshinda huyu?

wakudata

Member
Oct 3, 2007
26
1
Keep watching, hadi bongo imo!!
[media]http://www.youtube.com/watch?v=7WmMcqp670s[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=bNF_P281Uu4[/media]
 
Simpo... anaemshinda kwa kusafiri ni Muungwana JK!!

Bwana wewe umedesa jibu langu nami niliposoma kicha cha habari niasema ngoja niangalie kama Sio Muungwana basi huyo mtu sio mshindi wa kuzunguka duniani. hehehehehehh kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwi!!!!!!!!!!
 
duh waungwana mbona mwamuonea Jk waooooo??may be hajafikia bado ila ndo uko busy kumake sure atleast avunje hiyo rekodi!!si mwaona ashaanza kurudia mara nyingi nyingi kwenda kwenye miji ambayo ashaenda wakati akivuta pumzi for the other mijiz!!!keep it up muungwana go for it!lazma upate tuzo ya world record
 
Aisee!
 
Back
Top Bottom