Ndugu wanajamii Forum, naomba mwenye ufahamu wajambo hili atusaidie kujua jibu la swali tajwa hapo ili tujue mwenye biasharahii.
Kwa waliobahatika kusafiri kuelekea mbagara au gongola mboto wakitumia vituo vya mwenge lakini hasa Ubungo Tanesco watakuwawamekumbana na adha hii ambapo kuna kundi kubwa la vijana ambao husuburi garilikifika kituoni wanapitia madirishani na kukamata nafasi ya viti halafuwanaanza kunadi madirishani wakiwauzia abiria walioko chini kwa bei ya kuanzia 500.00 TZS kwa kila kiti. Na ikitokeamtu ana mzigo kidogo napo hutozwa kiasi cha fedha tofauti na nauli atakayolipakwa Conductor.
Mimi naamini kuwa kunamamlaka zinazotakiwa kudhibiti adha na uonevu mkubwa wanaofanyiwa maskiniwenzangu. Na kama kweli zipo zinawajibikaje? Au hawa watu wanaosumbua abiriawameruhusiwa na mamlaka husika? Nisaidieni kujua