Nani karuhusu uuzaji wa "seat" magari ya mbagara&gongo la mboto vituo vya ubungo na mwenge?

PETRO E

Member
Aug 9, 2012
17
4
Ndugu wanajamii Forum, naomba mwenye ufahamu wajambo hili atusaidie kujua jibu la swali tajwa hapo ili tujue mwenye biasharahii.
Kwa waliobahatika kusafiri kuelekea mbagara au gongola mboto wakitumia vituo vya mwenge lakini hasa Ubungo Tanesco watakuwawamekumbana na adha hii ambapo kuna kundi kubwa la vijana ambao husuburi garilikifika kituoni wanapitia madirishani na kukamata nafasi ya viti halafuwanaanza kunadi madirishani wakiwauzia abiria walioko chini kwa bei ya kuanzia 500.00 TZS kwa kila kiti. Na ikitokeamtu ana mzigo kidogo napo hutozwa kiasi cha fedha tofauti na nauli atakayolipakwa Conductor.

Mimi naamini kuwa kunamamlaka zinazotakiwa kudhibiti adha na uonevu mkubwa wanaofanyiwa maskiniwenzangu. Na kama kweli zipo zinawajibikaje? Au hawa watu wanaosumbua abiriawameruhusiwa na mamlaka husika? Nisaidieni kujua
 
Usiseme mabwege, maana wanaokutana na atha hii wengi wao ni wanyonge kama wazee wetu na akina dada wenye watoto. hapa tuombe mamlaka husika, kwa kushirikiana abiria, wahudumu magari hayo, kukomesha biashara hiyo kabla haijakomaa na kuenea maeneo mengine ya jiji.
 
Kiswahili ni janga la kitaifa
Hata kuweka nafasi kati ya maneno huwezi?

Imehalalishwa na serikali ya chama cha mapinduzi.. Ni ajira kwa vijana hiyo.
 
Binadamu tumezidi lawama, sasa hapo si muache tu kununua hizo 'seat'? Suala hilo pia serikali iwasimamie? Hivi wakikosa wateja watamuuzia nani?
 
Du ujanjaujanja ambao hauna maana unaleta shida. Wa kulaumiwa ni wahudumu wa hayo magari, wanawajua hao wanaosababisha kero na kuwaacha. Kama wahudumu hawashirikiani na hao kwanini wasiwafukuze?
 
Usiseme mabwege, maana wanaokutana na atha hii wengi wao ni wanyonge kama wazee wetu na akina dada wenye watoto. hapa tuombe mamlaka husika, kwa kushirikiana abiria, wahudumu magari hayo, kukomesha biashara hiyo kabla haijakomaa na kuenea maeneo mengine ya jiji.

Kweli ndg, ushirikiano wetu abiria unaweza kutukomboa, maana sioni kama kuna anayetujali
 
Binadamu tumezidi lawama, sasa hapo si muache tu kununua hizo 'seat'? Suala hilo pia serikali iwasimamie? Hivi wakikosa wateja watamuuzia nani?

Kombo, hujapata adha ya usafiri kwa maeneo tajwa. swala hili waathirika wakubwa ni wanawake, fikiria hawezi kugombea gari wakati wa kuingia na isitoshe ana mtoto, halafu anasikia tangazo,"mwenye mia tano kuna seat", halafu safari ni ndefu hawezi kusima, ukizingatia msongamano wa magari, unafikiri atashidwa kuamua kununua haki yake? Swali hapa ni udhibiti, ili pawe na utaratibu mzuri, lazima fujo zinazosababishwa na hao watu zidhibitiwe. Naamini kama huyu mama angeingia mlangoni na hakuna aliyepitia dirishani kukamata nafasi ya kuuza, angekaa bila bughuza.
 
Back
Top Bottom