Nani kaonyesha umahiri zaidi wa kuongoza bunge kati ya anne makinda na job ndugai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kaonyesha umahiri zaidi wa kuongoza bunge kati ya anne makinda na job ndugai?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hengo, Aug 27, 2011.

 1. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wakuu,

  Sikupata bahati ya kufatilia bunge kikamilifu kwa sababu mbalimbali zikiwemo mgao wa umeme na mihangaiko ya kutafuta riziki. Kwa waliobahatika kufatili naomba mtupe uwezo na umahiri wa kuongoza bunge kati ya Anne Makinda na Job Ndugai.

  Je, kama mwanamke Anne Makinda anaweza ukilinganisha na Ndugai pia Wanaume waliowahi kushika wadhifa huo wa spika wa Bunge?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hakuna anayeweza wote ni vilaza 2
   
 3. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Hii inamsaidiaje mtz kupunguza gharama za maisha?
   
 4. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndugai
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wote wamejitahidi kwa uwezo wao wa kufikiri na kupambanua mambo
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Unachojaribu kufanya ni sawa na kuwachukua mataahira wawili na kuangalia nani ana afadhali.
   
 7. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kama kiongozi akiwa dhaifu hata subordinate wake atakuwa hivyo. Enzi za Sita, Makinda alijitahidi kuendesha Bunge kwa kufuata viwango vya bosi wake na ndivyo ilivyo kwa Ndugai.
   
 8. Mhoja

  Mhoja JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haki itendeke, wote wamejitahidi kuendesha vizuri, mabunge yote duniani yanaongozwa kwa staili moja, tofauti ni ndogo.
   
Loading...