Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
helo marafiki ndugu na jamaa wa chit chat... Nimepotea sana pande hizi. But i hope hatujasahauliana bado.
Mimo ni mgeni toka mji balaa, ngoja waje wakongwe wenzako.
Osh! I almost forgot you Saint Ivuga! Bahati yako nakukumbuka sana. Kaa kwenye jamvi tulisongeshe!
Welcome back
Ameachika zamani sana, hujasikia sahivi yupo kijijini kwao analima?
Welcome back
"karibu nyuma"????????
daaaah!!!!! Sijaisikia hii. So analima matunda gani? Nataka nifanye naye biashara awe ananitumia matunda mtoni huku.Ameachika zamani sana, hujasikia sahivi yupo kijijini kwao analima?
Astaghafulilah .. Wee mtoto ndio unatafsirije lugha za watu?
Ndio hivyo Saint Ivuga ! Analima matikiti na matango! Mboga mboga pia analima ngogwe, bamia , mchicha !daaaah!!!!! Sijaisikia hii. So analima matunda gani? Nataka nifanye naye biashara awe ananitumia matunda mtoni huku.
Ameachika zamani sana, hujasikia sahivi yupo kijijini kwao analima?
Ndio hivyo Saint Ivuga ! Analima matikiti na matango! Mboga mboga pia analima ngogwe, bamia , mchicha !
"karibu nyuma"????????