Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Najaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuli amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.
1) Kwanini amefanya maamuzi yahusuyo "muungano" bila kushirikisha pande zote? yaani serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?
2) Kwa nini pesa zilizochangiwa na nchi mbili huru, zitumiwe na upande mmoja wa muungano?
Ni hayo tu
Tume ya katiba (Mcheza pool table maarufu)