Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,099
- 10,795
Watoto wa wafalme mara nyingi hutarajiwa wawe warithi wa kiti cha ufalme mara wazazi wao wanapoodoka madarakani.
Mabebeberu na mazayuni nao kwa kujuwa hilo na ambao ndio wasukaji wa hiyo mifumo ya kifalme, huwa daima wanawanyatia watoto hawa kwa kuwajaza fikra zao.
Na kwa ulimbukeni wa wazazi wao hawa watoto husomeshwa kwenye nchi za kibeberu masomo yasiyo na tija sana na ambayo hayahitaji akili kubwa kuyakariri.
Hawa watoto huwa hawana juhudi za masomo na huwa wanaishi kama wafalme huko vyuoni wanakosoma.
Pamoja na hivyo hata wakifeli hupewa alama za juu ili wapasi kiaina na kurudi makwao.
Hiyo inatokea sana kwa nchi zote zinazotawaliwa kifalme na hasa za kiislamu.
Sina kumbukumbu za kutosha kuhusu mtoto wa mfalme wa Saudia na kama alifanikiwa kiasi gani kimasomo, hata hivyo nina uhakika sana amedanganywa sana kukubali kuondosha nidhamu zote za kiislamu zilizotawala nchi hiyo ambayo ni chimbuko muhimu la Imani ya kiislamu.
Sehemu aliyodannganywa zaidi ni katika kukuza utalii ili kukuza uchumi wa nchi hiyo na kuwacha kutegemea mafuta pekee.
Na aina ya watalii anaowalenga ni wale wanaoingia nchini humo kushuhudia michezo ambayo ni haramu au kuimba na kucheza uchi mambo ambayo yote hayakubaliwi na uislamu.
Hivi ipo nchi duniani inayoweza kuipiku Saudi Arabia kwa kupokea watalii wanaoingia kiibada na ambao wanaridhiwa na Allah. s.w.
Na je hajaona eneo jengine halali la kuwekeza na kukuza uchumi mbali na kukaribisha watu waovu na walevi wa kila aina?