Nani Kamanda wa Ukweli kati ya Mbowe na JK...... Angalia picha utoe majibu!

inaonekana mbowe alimminya vidole jk hadi akainama upande. hahahaaaa...!!!. Mia
 
Acha kuropoka. Baba yako ni baba yako tu. hata ukikataa JK ni raisi wa Tanzania. Mbowe ni mbunge hana ubavu hata kidogo kulinganishwa na JK. Utapata laana bure. Heshimu mamlaka iliyopo. poa?

Tutaiheshimu pale tu itakapotekeleza majukumu yao juu ya Wananchi waliowateua na siyo kama sasa wanavyofanya watakavyoo, huwezi kuheshimu mtu ambaye hakuheshimu hata kama ni mzazi tena mzazi ndio anatakiwa kuwa mfano.
 
attachment.php
 
Kupenda ni ugonjwa mbaya sana. Ukipenda chongo utaliita kengeza. Hata kwata hakucheza anaitwaje Kamanda? hiki ni kiinimacho.
 
199082_1479621370369_7574636_n.jpg


Kama kikwete anakwepa harufu mbaya ya mdomo vile au nimeona vibaya
 
Uzuri wa JK kwa sasa ni mnyenyekevu kwa cdm ili amalize muda wake salama.:llama:
 
Back
Top Bottom