Nani Kamanda wa Ukweli kati ya Mbowe na JK...... Angalia picha utoe majibu!

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
hapa nani anayeonekana kuwa kamanda wa kiukweli ukweli

199082_1479621370369_7574636_n.jpg
 
Unauliza majibu!?
Kamanda huwa anavaa gwanda, anavyosimama anaonekana sio kusimama kimdebwedo kama huyo mwingine.
 
Unauliza majibu!?
Kamanda huwa anavaa gwanda, anavyosimama anaonekana sio kusimama kimdebwedo kama huyo mwingine.
Mbutaiyo,umesahau kitu,huyo jamaa mwingine anaonekana hajiamini kabisaaa,kiongozi ndiye huwa anashika wengine mabegane,lakini hapo yeye ndo kashikwa. Yaani inaonekana kama vile kamanda ndo rais halafu huyo mwingine ni mkuu wa wilaya.
 
Ok wa mafisadi wote Tz

Acha kuropoka. Baba yako ni baba yako tu. hata ukikataa JK ni raisi wa Tanzania. Mbowe ni mbunge hana ubavu hata kidogo kulinganishwa na JK. Utapata laana bure. Heshimu mamlaka iliyopo. poa?
 
walisahau kale kautaratibu wao wa kukodi mabasi na kubeba watu kutoka mikoa ya mbali kuja kuongeza wingi wa umati???

Umekosea siyo mabasi bali malori, pia wachache ndo wanaokubali siku hizi kwani wanachuliwa kwa malori na wakati wa kurudi wanatelekezwa!
 
Ukamanda wa Mbowe ni wa kujiita na kuvaa combat. Ukamanda wa JK ni wa kitaaluma alioupata kwa kufanya mafunzo ya kijeshi na kupata commission. Kuulinganisha ukamanda wa Mbowe na wa JK ni sawa na kufananisha mapera na viazi. Mwenye akili hulinganisha mapera kwa mapera na viazi kwa viazi.
 
Kwakweli kama Mbowe angekuwa anaona hizi topic zinazoletwa na wanacdm basi ange hama chama. Mi na wasiwasi huyu muanzisha mada atakuwa ni Lema.
 
Those are two incomparable entities, huwezi kumlinganisha huyo mtalii na kamanda Mbowe, Mbowe yuko juu na tofauti yake ni mbali mbali kama mbingu na Ardhi!!!!
 
Kamanda wa kweli ni jk aliyepigana vita, mbowe hakwenda shule na hakupita hata jkt kwa hiyo jibu unalo
 
Back
Top Bottom