Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,402
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!