Nani kakwambia kuna msamaha baada ya kufa ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kakwambia kuna msamaha baada ya kufa ??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 31, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Unajua hivi sasa akuna haja ya kupeana mahbiri ya kuuana tukiwa dunian ama mahubiri ya kusubiri sadaka za watu
  jamani nimeona makanisa mengi wanapeana imani ukifa unaweza kutubu utubu wapi wewe??embu jiulize umekuwa na pumzi
  ukashindwa kutubu umewekwa kwenye friji mpaka kwenye mbao za keko wanakufunika unaenda kutubu wapi??

  Embu tuelezane ukweli ukifa hukumu hiyo nfdio hali halisi ndugu zangun wa jf sio kwamba ....la hasha natamani
  kuona idadi ya jf members ikishine siku ya mwisho na haya mambo ya kuambiana mungu kamchukua umemwona mungu
  akimshika mkono??kama ulimwona kwa niniusimwambie amwache unasubiri amchukue umsingizie


  nini maana yake jifunze kutubu kila siku ukiamka ,ukiwa unalala,toba ni kitu muhimu sana watu wengi wanakosa
  baraka sababu ya toba kivipi wamekuwa wengine wakitoka nje ya ndoa wakirudi nyumban awaombi mungu msamaha wasirudie
  tena akili zao wanamficha mkewe/ama mumewe mungu anakuona kila unachofanya

  toba toba toba
  mungu akubariki jumatatu njema mpendwa
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Kumbuka kuikabidhi wiki yako kwa mungu unajua kuna watu wanasubirimpaka wanafikwa ndio wanamwomba mungu aingilie kati wakati unauwezo
  wa kuificha wiki yako nzima akuna kitakachokukuta ofisni wala kwenye biashara zako kama utamwambima mungu asimame na wiki yako nzima
  asimame na afya za familia yako asimame na fedha zako..unajua tatizo sio hela unaweza pata hela ukaonekana kichekesho kwa matumizi na kuonekana
  bora yule asiepata ...so mwombe mungu kama una biashara asionekane chuma.....kataa kabisa na kama unahisi bosi miyeyusho mwambie mungu asimame
  nae asitamke chochote kile juu yakowiki nzima uishi kwa amani
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Asante mtumishi! Ubarikiwe
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Sawa ndugu yetu P. tumekusikia, . Leo ulikabidhiwa mimbara kanisani nini?
  Phidy zingatia unapo type neno Mungu anza na herufi kubwa kwani ukitumia herufi ndogo unamaanisha kitu kingine kabisa.
  .
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Ahasante mkuu ntd
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  Amina... ubarikiwe
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Allah of islam said that.
   
 8. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe unavuta sigara au kitu gani?
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  nostrandom: Uislam ni Daraja la kwenda Jehanam
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  UNAHISI KUPATA JIBU HUMU??
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  kwani lazima uchangie kila thread....?
   
Loading...