Nani kaiona kesho!? Alikuwa Polisi sasa kondakta wa daladala

Du, pole yake.
___

1. Kamanda wake hajakosea, alifanya inavyotakiwa.

2. Natamani aliyemfichia ama kumuibia silaha asome uzi huu aone yatokanayo.

3. Kama hukumu ilitolewa na 'korti masho', mahakama ya kijeshi, basi kifungo cha muda huo tayari ilikuwa ni pamoja na kufukuzwa kazi. Haiwezekani ukafungwa zaidi ya miezi 3 kisha urudi kiendelea na kazi hiyo (kijedajeda)

4. Kuna uwezekano mkubwa katika ukoo wao wakawa na matatizo ya afya ya akili ama vifungo vya njia za giza.

5. Baba mwenye nyumba wake aliyemuomba elfu 15, naye huenda alimfanyia husuda, tena ubaya mkubwa baada labda ya kuona mafanikio yake..., inaunganika na vifungo vya awali, madhara yakawa makubwa.

6. Hajawadharau bar-maids, bali alisema hapendi kufanya kazi hiyo. Hivyo haifai kumshambulia kwa yeye kukataa kufanya kazi ya u-baamedi. Ni kama vile baadhi ya wachangiaji walivyoonesha kutopenda kufanya kazi ya upolisi.

Ni uchaguzi tu, siyo dharau, na hata kama aligawa papa huko minadani ilikuwa hiyari yake, asihukumiwe kwa hilo.

7. Hakuna binadamu asiye na makandokando yake, lakini angalau ameshea stori kwa upande wake, kuna mengi ya kujifunza.

8. Kwa wanao amini Mungu yupo, basi wakumbuke kuwa na uchawi upo, shetani yupo na vifungo na maagano ya giza yapo, hivyo kufunguliwa kupo.

9. Sidhani kama ni tangazo la mlima wa moto, maana tukio lake limerikodiwa Polisi & mahakani Mbeya, akina 'Tomaso' mnaweza kuhakiki.

10. Somo kubwa hapa ni kutokata tamaa na kumtegemea Mwenyezi Mungu.

Niishie hapa.

Ahsante.

James Jason
 
Story inahuzunisha, inatia moyo inafundisha lakini mimi siwezi kuwaonea huruma polis wa Africa ni mbweha. Wakitumwa wanaenda kama majini hawatumii akiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshindwa hata kuona huruma kwa mumewe au watoto wake basi ni wazi unakaribia kuwa mchawi.

Inawezekana polisi wakaja kupata msamaha wa jumla kuingia ufalme wa mbinguni sababu ,ya unafiki wanaoonyeshwa na binaadamu wenzao.ni adhabu tosha.

Ni jambo la hovyo sana kudhani kila polisi ni mhuni mhuni,kama huyu Dada hata sababu yake tu ya kufukuzwa haihusiani na madhira ya kawaida wanayopata wananchi wengine kwa polisi,ila bado humuonei huruma,wala huoni sababu ya hilo. Sheeeeeeeeeeee na unalala na amani kabisa kisa hupai na ungo!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du, pole yake.
___

1. Kamanda wake hajakosea, alifanya inavyotakiwa.

2. Natamani aliyemfichia ama kumuibia silaha asome uzi huu aone yatokanayo.

3. Kama hukumu ilitolewa na 'korti masho', mahakama ya kijeshi, basi kifungo cha muda huo tayari ilikuwa ni pamoja na kufukuzwa kazi. Haiwezekani ukafungwa zaidi ya miezi 3 kisha urudi kiendelea na kazi hiyo (kijedajeda)

4. Kuna uwezekano mkubwa katika ukoo wao wakawa na matatizo ya afya ya akili ama vifungo vya njia za giza.

5. Baba mwenye nyumba wake aliyemuomba elfu 15, naye huenda alimfanyia husuda, tena ubaya mkubwa baada labda ya kuona mafanikio yake..., inaunganika na vifungo vya awali, madhara yakawa makubwa.

6. Hajawadharau bar-maids, bali alisema hapendi kufanya kazi hiyo. Hivyo haifai kumshambulia kwa yeye kukataa kufanya kazi ya u-baamedi. Ni kama vile baadhi ya wachangiaji walivyoonesha kutopenda kufanya kazi ya upolisi.

Ni uchaguzi tu, siyo dharau, na hata kama aligawa papa huko minadani ilikuwa hiyari yake, asihukumiwe kwa hilo.

7. Hakuna binadamu asiye na makandokando yake, lakini angalau ameshea stori kwa upande wake, kuna mengi ya kujifunza.

8. Kwa wanao amini Mungu yupo, basi wakumbuke kuwa na uchawi upo, shetani yupo na vifungo na maagano ya giza yapo, hivyo kufunguliwa kupo.

9. Sidhani kama ni tangazo la mlima wa moto, maana tukio lake limerikodiwa Polisi & mahakani Mbeya, akina 'Tomaso' mnaweza kuhakiki.

10. Somo kubwa hapa ni kutokata tamaa na kumtegemea Mwenyezi Mungu.

Niishie hapa.

Ahsante.

James Jason
Ahsante .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa najiona nimepambana kumbe hamna kitu aisee, bi dada kapambana ila hayo makanisa aliyokuwa sijui mlima wa moto jau tupu
 
Back
Top Bottom