Nani kaiona kesho!? Alikuwa Polisi sasa kondakta wa daladala

Sasa huyo ndio wakupewa tuzo ndio mwanamke hodari sio ukute mdada mdangaj anajikuta msanii ndio anatwaa hizo tuzo
 
....Amezaliwa 1980, ina maana ana miaka 30...lakini tayari ana binti ambaye ameishaolewa mara mbili ??... Hii Hesabu haijakaa Vyema...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu ulijifunzia wapi? 1980 Mpaka 2000 kwa kukusaidia ni miaka mingapi? Jumlisha na 2000 hadi 2020. Tumia hiyo njia ya darasa la pili uone utapata ngapi? Sio kama hesabu hujui ila umekuwa too negative ndio maana umekosea kuhesabu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa Mwanaume ningemlaumu kwa kweli
Miaka mitano ajirani jeshi lolote la serikali hapa nchini inatosha kabisa kuitumia kutusua maisha

Nani amekudangnya kuajiriwa ndio kutusua...unajua mishahara ya maaskari wewe....acha kupiga porojo...huyo mama ni mpambanaji kinyama...ni anastahili kuitwa malkia wa ukweli
 
Nani amekudangnya kuajiriwa ndio kutusua...unajua mishahara ya maaskari wewe....acha kupiga porojo...huyo mama ni mpambanaji kinyama...ni anastahili kuitwa malkia wa ukweli

Nasikia mshahara wa maaskari wa wizara ya mambo ya ndani ni zaidi ya laki tano kwa mwezi , sasa kweli huo mshahara na gharama za maisha kwa hapa bongo mtu ushindwe kutusua?
 
Nasikia mshahara wa maaskari wa wizara ya mambo ya ndani ni zaidi ya laki tano kwa mwezi , sasa kweli huo mshahara na gharama za maisha kwa hapa bongo mtu ushindwe kutusua?
Kwahiyo wewe 500k unaiona nyingiiiiiiiiiiii.....askari wengi take home ya ni laki 3-4....na wanawategezi hawa...

Subiri na wewe ukiwa mkubwa ukilipwa laki tatu utanunua gari na kujenga khorofa
 
Sijawah tapeli na sina utapeli, kanisa lipo na mchungaji yupo ni swala la imani unaweza kwenda mwenyewe kushuhudia pale kanisani jumapili uone kwa macho yako nakueleza hapa uje utoe ushuhuda hapa maana kila siku pale iko neema Ya Mungu inatenda kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakazia acha utapeli ndugu....neema ya Mungu inatenda kazi mahala popote...
 
Watanzania ukitaka kutuibia tuweke kwenye maandishi wavivu sana wa kusoma na ndio maaana tunasain mikatava bila kuisimo maana unaletewa mkataba una kusana 40 alafu imejaa maelezo unasoma WA kwanza tu umechoka unasain mkataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom