Nani kaiona kesho!? Alikuwa Polisi sasa kondakta wa daladala

Kwakweli ameteseka Sana Ila mateso yake asifikiri wengine hawateseki, kikubwa Mungu ndo hupanga na muda mwingine yeye ndo humaliza msalaba huu mzito wa shida.

Kila Jambo gumu ama changamoto zozote zile ambazo mwanadamu atakutana nazo maishani Basi atambue kuwa huo ndo msalaba wake na anatakiwa kuubeba mpaka aufikishe Canivari ili awambwe juu yake na atundikwe, afe na afufuke katika Maisha ya raha mstarehe.
 
Maisha ni safari isiyo tabirika.....hujui keshoitakuaje.. huyo Dada ni mpambanaji wa kweli.
Hii ndiyo mifano hai ya kujifunza.
Kaka naomba ushaur nipo chuo kikuu Cha teofilo kisanji na soma bachelor of science with education lakn nataka niache bila life diploma mwakani ya ualimu biology na geography
 
Back
Top Bottom