Nani huyu???

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
2861_1080044919767_1185614489_30232899_6050261_n.jpg

Tabu tupu!!!!!
 
Nahisi ni Ray C, kanenepa kweli, halafu mbona anazidi kuwa mwekundu? au ndo rangi ya maharage mchemsho hii?
 
Haya makuku ya kizungu yatatumaliza. ninadhani mrembo huyo anayakwida sana.
 
:drum:Akikonda ana............................... akinenepa anatumia..................................., msishangae "Akikonda ana maudhi kibao akinenepa anatumia kitimoto".:target:
 
Nimeona kule BC alipokuwa ana defend kashfa za utapeli, wadau walimpakazia Ray C eti ni teja...wameniacha kidogo!
sasa sijuwi hayo mabadiliko yanahusika na tuhuma hizo (za kuwa uteja) au vp?!
 
Nafikiri ana biashara nyingi, kwanza yawezekana yeye mwenyewe ameomba hizi picha ziwekwe humu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom