Nani Huyu? Zawadi Nono kutolewa!!!!

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Apr 28, 2008
372
13
Jamani uchaguzi umeisha. Tunarejea kijiweni MTAA KWA MTAA

Je unaweza kumtambua huyo mwenye miwani na grini vesiti ya Kijani??
12.jpg
 
Huyu ni mbunge wa Nyamagana wakujifanya anaweza zima moto wa peoples power, aa! hakuna uchaguzi tena nasubiri kuapishwa nakwambia hawatarudia tena muda mwingine,
Fisadi kaumbuka atauona mjengo kwa mbali au awe mgeni wa RA& EL akiwapa madokezo ya kifisaidi aliyoficha.
Asant Mungu wataumbuka hapa hapa
duniani.
 
HUYU NI lau Masha na bonny anamzomea anamwambia kiboko chako chadema
 
huyo l. masha, ndo zao na jk... eti ndo viongozi hao... bull sht!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom