Nani hugharamia wito kwa PCCB?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,021
114,377
Wakuu tupeane uelewa. Unaposafiri kikazi ofisi hugharamikia usafiri na posho ya kujikimu kulingana na mda utakaotumia. Inapotokea umepokea wito wa PCCB pengine kutoa ushahidi na katika kuitikia wito inakuhitaji safari na posho ya kijikimu?

Iwe ni wito binafsi au kiofisi? Ikizingatia kwamba wito wa PCCB uko strictly sana kwenye mda kutokana na majukumu mazito ya kiuchunguzi. Je, kama gharama ni juu ya aliyeitwa, itazingatiwa vipi kama hana uwezo wa kugharamia safari?
 
Mkuu kama huna uwezo wa kugharamia safari ni vema ukawataarifu halafu watafanya mpango wa kukuchukua kistaarabu
 
Back
Top Bottom