Elections 2015 Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!

Malaika walioasi yaligeuka mashetani....HIVI KUNA SHETANI ALIYEASI?AJE KUWA MALAIKA!
Mkuu mkombengwa, ile tuu hali ya kuwa shetani, tayari ni auasi, hivyo shetani hasi , tayari ni hasi, ila wako mashetani ambao wanatubu na kumrudia Mungu, hawa hugeuka tena malaika.

Hatari zaidi ni wale malaika ambao kwa nje ni malaika lakini kwa ndani ni mashetani!, hivyo hawa wame pose kama malaika but in fact ni mashetani. Malaika hawa ndio waliopanga shambulizi la Lissu, kwa nje ni malaika lakini kwa ndani ni mashetani.

P.
 
Naendelea na tafakuri yangu kuhusu malaika na shetani, leo nimepokea taarifa ya kuna mtu mmoja ameasi, ila sijajua kama ni alikuwa malaika au shetani. Kama alikuwa malaika na huko alikoasi ni umalaikani, hivyo sasa amegeuka shetani. Lakini kama alikuwa shetani na huko alikoasi ni ushetanini, then atakuwa amegeuka malaika.

Swali la msingi bado limebaki pale pale, nani hatari zaidi kati ya malaika Aliyegeuka shetani na shetani aliyetubu ushetani wake wake na kuondoka kutoka ushetanini ?.

Paskali
 
In politics,malaika anaweza kugeuzwa shetani na shetani anaweza kupambwa akafanana na malaika!
Mkuu Mihogora, posti yako hii, imenikumbusha mbali, ni kweli politics is a dirty game, malaika anawea kabisa kugeuzwa shetani, na shetani akageuzwa malaika!.
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.

Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .

Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.

Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.

Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.

Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .

Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.

Tafakari na chukua hatua.

Nawatakia Jumatano njema.

Pascal

Wanabodi, hili ni bandiko la siku nyingi, leo nimetokea tuu kulikumbuka sijui kwa nini?!.

Inawezekana kuna jambo, let's wait and see, ila ikitokea kuna viongozi wetu wowote mtakaolisoma bandiko hili, naomba mjitafakari kama wewe ni malaika au shetani, and just in case, kama Mungu atamua kukuchukua leo au kesho, huko tuendako, utakuwa ni mgeni wa nani?.
P.
 
hahahahahahhhhh mm napita njia tu.
Mkuu hii mada yako inachanganya. Malaika kugeuka Shetani ni hatari kwani hakuna asiyejua habari za Shetani na mambo yake. Tatizo ni hilo la pili la Shetani kugeuka Malaika; hili ni gumu kulijadili kwa sababu hatuna japo mfano mmoja. Malaika alishawahi kugeuka Shetani ndio maana leo tunazungumzia habari za Lusifa na mashetani wenzake.

Kwa upande mwingine, haijawahi kusikika au kuandikwa popote Shetani kugeuka Malaika - haipo. Hivyo, sina budi kusema kwamba mfono wako ni irrelevant na Shetani ataendelea kubaki Shetani milele yote.
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.

Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .

Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.

Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.

Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.

Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .

Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.

Tafakari na chukua hatua.

Nawatakia Jumatano njema.

Pascal

Nimelikumbuka bandiko hili kwenye muktadha wa kumpata Spika wetu mpya, kuna mtu anaonekana kama shetani, kwasababu mwanzo alikuwa shetani, lakini sasa ni malaika. Na kuna mtu alikuwa kama malaika na watu wakaamini ni malaika...kama ...asinge ingilia kati...amini usiamini, tungekoma. Hivyo kwenye uspika, tusifanye makosa!.
P
 
Inasikitisha kwamba Nchi inakosa watu wenye uwezo mpaka anayeonekana fisadi anaombewa nafasi ya kuongoza mhimili unaoisimamia serikali.
 
wanajua ww inapokuja swala hela ama madaraka akili yako henda likizo na humsifia hata shetani ni bora kuliko malaika
Hoja yako hii ni kweli, hakuna ubishi kuhusu shetani na malaika, shetani is more powerful kuliko malaika kwasababu shetani hufanya mwenyewe na malaika ni kiumbe wa kutumwa tuu!.
Pia shetani has a role, malaika hana role, kwasababu tangu uumbaji wa dunia hii, ni shetani ndie aliuchomeka ule 'mti' na lile 'tunda', bila 'mti' kutumika, 'kumega' lile 'tunda', tusingezaliwa!.

Kwanza sii wengi wanaofahamu kuwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu, the 2i/c to God!, who can do everything God can do ecept creation, yaani God ndiye The Only Creator, hivyo Lucifer alipoasi na kutupwa duniani, alitupwa na nguvu zake, hivyo ana powers kuliko malaika wote!.
Hili la shetani na malaika niliwahi kuliendeshea darasa humu

Moja ya sifa kuu ya shetani ambayo haifundishwi sana kwenye dini zetu ni uwezo wa shetani kujigeuza, disguises as anything, anyone!.

Kule kwenye bustani ya Eden, baada ya kujigeuza nyoka akapenya bustanini, kule ndani akajigeuza mtu, a handsome boy ndio akamtokea Eva, akamuonyesha 'mti', akamuuliza eva hilo 'tunda' ni la nini?, Eva akasema "Mungu ametukataza kula tunda hili". Shetani akamtempt kwa kumwambia Mungu ni mchoyo, hataki mfaidi utamu, kati ya matunda yote Duniani, 'tunda' lile ndio tunda tamu zaidi kuliko matunda yote, na 'likimegwa' 'tunda' hilo linawapa uwezo wa KiMungu wa kuumba viumbe wengine, yaani to create, creation!.
Shetani akamuonyesha Eva jinsi 'tunda' linavyo megwa kwa practical ya kumega 'tunda' and in fact shetani ndie wa kwanza 'kumega' 'tunda' na Eva, na kweli Eva akauona utamu wa 'tunda' akamfuata Adam na kumlazimisha na yeye 'amege' 'tunda' na kutokana na utamu wa tunda, baada ya Adam na Eva 'kula' 'tunda' kwa kumegeana, wakaishia usingizini, na hiyo zambi ya 'kumega' tunda, au 'kula' 'tunda' ndio dhambi ya asili, the original sin!. Ili binaadamu yoyote azaliwe, lazima hiyo dhambi itendeke!. Sisi Wakristu baada ya kuzaliwa na dhambi ya asili, dhambi hiyo huondolewa kwa kubatizwa.

Bwana wetu Yesu Kristo ndiye pekee aliyezaliwa bila dhambi ya asili, kwa Mama yake, Bikira Maria, kukingiwa dhambi ya asili, kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira, bila 'tunda' lake 'kumegwa'.

Na ndio maana viongozi wetu wa dini sisi Wakatoliki wanakula kiapo cha calibacy , Mapadri hakuna 'kumega', Masista hakuna kutoa 'tunda' 'kumegwa'.
Hivyo shetani yupo very tricky na most of the time he disguises as God!. Kuna watu wanamwabudu shetani wakiaamini ni Mungu!.
Hivyo be very careful!.
Paskali.
 
Mkuu @Robert S Gulenga ,
Kuwa na msimamo.
Asante
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time. Wazuri na wabaya ni hao hao.
Hata shetani mwanzo alikuwa malaika, akageuka kuwa shetani. Mtu anaweza leo kuwa malaika, leo, kisha kesho akawa shetani. Kama ulimsifu akiwa malaika, akigeka shetani utaendelea kusifu ili uwe na msimamo?.
P
 
Bado Kuna watu watakwambia Ni mtu mwema na akumbukwe daima...
Ndugu zangu binadamu kweli tunatofautiana kimtazamo
Mkuu mfate42 , ni kweli, tena sio tuu watakwambia ni mtu mwema, bali tangu akiwa hai tuliwaeleza wema wake
  1. Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.
  2. Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
  3. Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
  4. Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
  5. Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
  6. Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
  7. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika
  8. Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
  9. "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!
  10. Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!
  11. Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.
  12. Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
  13. Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?
  14. Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!
  15. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
    P
 
Hoja yako hii ni kweli, hakuna ubishi kuhusu shetani na malaika, shetani is more powerful kuliko malaika kwasababu shetani hufanya mwenyewe na malaika ni kiumbe wa kutumwa tuu!.
Pia shetani has a role, malaika hana role, kwasababu tangu uumbaji wa dunia hii, ni shetani ndie aliuchomeka ule 'mti' na lile 'tunda', bila 'mti' kutumika, 'kumega' lile 'tunda', tusingezaliwa!.

Kwanza sii wengi wanaofahamu kuwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu, the 2i/c to God!, who can do everything God can do ecept creation, yaani God ndiye The Only Creator, hivyo Lucifer alipoasi na kutupwa duniani, alitupwa na nguvu zake, hivyo ana powers kuliko malaika wote!.
Hili la shetani na malaika niliwahi kuliendeshea darasa humu

Moja ya sifa kuu ya shetani ambayo haifundishwi sana kwenye dini zetu ni uwezo wa shetani kujigeuza, disguises as anything, anyone!.

Kule kwenye bustani ya Eden, baada ya kujigeuza nyoka akapenya bustanini, kule ndani akajigeuza mtu, a handsome boy ndio akamtokea Eva, akamuonyesha 'mti', akamuuliza eva hilo 'tunda' ni la nini?, Eva akasema "Mungu ametukataza kula tunda hili". Shetani akamtempt kwa kumwambia Mungu ni mchoyo, hataki mfaidi utamu, kati ya matunda yote Duniani, 'tunda' lile ndio tunda tamu zaidi kuliko matunda yote, na 'likimegwa' 'tunda' hilo linawapa uwezo wa KiMungu wa kuumba viumbe wengine, yaani to create, creation!.
Shetani akamuonyesha Eva jinsi 'tunda' linavyo megwa kwa practical ya kumega 'tunda' and in fact shetani ndie wa kwanza 'kumega' 'tunda' na Eva, na kweli Eva akauona utamu wa 'tunda' akamfuata Adam na kumlazimisha na yeye 'amege' 'tunda' na kutokana na utamu wa tunda, baada ya Adam na Eva 'kula' 'tunda' kwa kumegeana, wakaishia usingizini, na hiyo zambi ya 'kumega' tunda, au 'kula' 'tunda' ndio dhambi ya asili, the original sin!. Ili binaadamu yoyote azaliwe, lazima hiyo dhambi itendeke!. Sisi Wakristu baada ya kuzaliwa na dhambi ya asili, dhambi hiyo huondolewa kwa kubatizwa.

Bwana wetu Yesu Kristo ndiye pekee aliyezaliwa bila dhambi ya asili, kwa Mama yake, Bikira Maria, kukingiwa dhambi ya asili, kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira, bila 'tunda' lake 'kumegwa'.

Na ndio maana viongozi wetu wa dini sisi Wakatoliki wanakula kiapo cha calibacy , Mapadri hakuna 'kumega', Masista hakuna kutoa 'tunda' 'kumegwa'.
Hivyo shetani yupo very tricky na most of the time he disguises as God!. Kuna watu wanamwabudu shetani wakiaamini ni Mungu!.
Hivyo be very careful!.
Paskali.
Advocate Paskali,
Ukweli ni kwamba hakuna physicality inayoitwa Shetani na nyingine Malaika.

Kilichofichika Moyoni Mwa Mtu kwa maana ya DHAMIRA...NDICHO KINACHOMTAFSIRI MTU!

DHAMIRA YOYOTE YENYE KUPELEKEA TAABU,woga na Mateso kwa Mwenzio huo ni USHETANI-na huyo mtu huwa Shetani kwa wakati huo!

Likewise
DHAMIRA yoyote yenye kutafsiri UPENDO na inayosaidia au kuokoa nafsi nyingine basi huo huitwa-UMALAIKA....

Minds....
Thought...either positive or negative....

Produces Energies...either positive or negative as well....!

Hiyo ndiyo misingi ya Shetani na au Malaika!
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.

Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .

Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.

Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.

Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.

Lakini inapotokea malaika akaamua kufanya kazi ya shetani huku amepose kama malaika!, huyu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe!, maana you can't tell!. Watu wa Mungu watamsikiliza wakidhani ni malaika kumbe nje na ngozi tuu ndio ya malaika lakini ndani ni ibilisi mwovu shetani wahedi! .

Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.

Tafakari na chukua hatua.

Nawatakia Jumatano njema.

Pascal

Hapa anayezungumzwa ni Edward Lowassa ndie aliyekuwa shetani wa Richmond sasa akageuka malaika Mkombozi.
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Back
Top Bottom