Nani hapo kamcheat mwenzake??

Mfuga Mbwa

Member
Dec 1, 2012
18
2
[h=5]Jamaa na demu wake walipanga kujiua,wakapnda kwenye gorofa la 10,wakaanza kuhesabu 1,2, ikifika 3 waruke,3 ilipofika jamaa akaruka dem akabaki na kujisemea "love is blind but I'm not blind,kisha akaondoka,mwanaume akiwa anashuka akaangalia nyuma alipoona hamna dem akafungua parashuti lake aliloficha na kujisemea "stupid I can't die b'se of love"
Nani hapo kamcheat mwenzake??[/h]
 
hahaha, bongo daslam ndio hiyo, cheni bandia kwa hela bandia, ngoma drooooooooooooooooooooo,life ingekua hivyo kila siku no more complain
 
Nimeipenda sana hii.

Imekaa kibaradhuli maana wote ni mafirauni, maaluni, majinuni,
Waongo, wezi wasiojali maisha ya wengine.

Bazazi
 
aliyeuza cheni aliuza chen bandia na aliyetoa hela alitoa hela bandia hapo watoto wa mjini wanasema ngoma droo
 
wote watoto wa mjini ila mwanaume alikuwa mpuuzi kuliko mwanamke,
 
nani tukajirushe wote pale BWM TOWER POSTA kati ta KakaKiiza na Bigirita pliz aliyetayari twende sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
Mchukue huyi mwingine, KakaKiiza niachie kwanza nangojea amalize eda nimnyakue
KakaKiiza njoo unasikia mapenzi ya ushindani siyawezi King'asti mie nimekula mzigo mara mbili tayari chukua huyo sijui bingirika is not booked Bigirita njoo haya chukua huyu hapa,ila roho inauma kukugombea alafu uko hapo pembeni unaangalia tu lol
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza njoo unasikia mapenzi ya ushindani siyawezi King'asti mie nimekula mzigo mara mbili tayari chukua huyo sijui bingirika is not booked Bigirita njoo haya chukua huyu hapa,ila roho inauma kukugombea alafu uko hapo pembeni unaangalia tu lol
huyu KakaKiiza unamtajataja sana............piga chini huyo! you deserve better!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume alikuwa muuaji anakubaliana na mwenzake wakati anakitendea kazi!Napili mwanmke ndo balaa anakubaliana namwenzake safari kabla aijaanza anaweka handbreak!!!Dah lakini ndo wabongo walivyo usiamini mpenzi wako kwa asilimia 100!!ikiwezekana wekeza kwenye mapenzi aslimia 50 nyingine 50 bakinazo kwa baade uwezi kujua!!
 
Bado kuna nafasi ya kwenda Jukwaa lingine

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom