Nani chokochoko baraza la wakilishi la zanzibar?!

shida hamjajua znz wandhani kuhodhi mafuta na gas basi hawatahitaji tena lolote toka bara, form umeme, utaalamu etc, wanasahau kuwa tumekuwa tunakula pamoja for so long bila kuhudge nani ni nani? tena znz wapo wachache ukigawanya kwa ratio wao wanatuzidi mgawo.Kumbuka ni juzi tu hapa wameanza kulipia umeme, maji, na huduma kinbao zipo free huko. hali iliyowafanya wakawa wavuvu, nani anabisha znzb si wavivu, wachapakazi ni robo ya watu, others uvivu tupu, sasa hata tukiwaachia mafuta yatakuwa hayana faida kwani wjanja watayapitia, heri ya bara yanaliwa japo sio yote!!
 
mimi naunga mkono serekali iwe moja tu na zanzibar kuwe na mikoa 2 mmoja mkoa wa pemba na nyengine mkoa wa unguja tuondoe hii fitna za masheha na nitapenda wanzenji walipishwe kodi ya kichwa itakapo kuwa mkoa
 
mimi naunga mkono serekali iwe moja tu na zanzibar kuwe na mikoa 2 mmoja mkoa wa pemba na nyengine mkoa wa unguja tuondoe hii fitna za masheha na nitapenda wanzenji walipishwe kodi ya kichwa itakapo kuwa mkoa
Siyo tatizo kulipa kodi za kichwa. Almuradi tu na babu zako kule kijijini kwenu watakuwa wanalipa kodi ya miguu.
 
Wakuu, ni kipi kifanyika kutowa sura kuwa znz hawawtaki Muungano? Public is complaining, opposition is complaing, SMZ is complaining and categoricaly rejecting some union articles! what more should they do to prove they are not intrested? Day will come it will break or mend it right!
 
... hali iliyowafanya wakawa wavuvu, nani anabisha znzb si wavivu, wachapakazi ni robo ya watu, others uvivu tupu,
stupid,
Tunawaona nyie mnaochapa kazi makumbaro wanavyokupelekeni puta. Wezi wakubwa!!!
 
Back
Top Bottom