Nani chanzo cha records za mawasiliano zinazosambaa mtandaoni?

Abdul Nondo

Verified Member
Oct 28, 2016
311
1,000
Tafuta usome article ya " Phone tapping national leaders "Normal"

Tukio la 2013 nchini Indonesia ,Badan intelijen Negara(BIN),walivyoshutumiwa ku tap maongezi ya simu ya wanasiasa wa Australia,sikia majibu ya kiongozi Mstafu wa shirika la kijasusi la BIN , Mr.Hendropriyono alivyosema alisema "Tapping and counter tapping is quete common in the intelligence life, because it is one of their jobs "
Kwa kiswahili wanasema kuingilia mawasiliano na kuzuia kuingiliwa ni jambo la kawaida katika maisha ya kijasusi , kwasababu ndio moja ya kazi zao.

Akaendelea kusema ,mara nyingi nchi hufanya kwa wanasiasa wake wa ndani kujua yupi adui ,yupi sio adui ,pia hata ikivuka nje ya nchi ina lengo la kujua Kama nchi jirani yako uliyenaye kama ni adui au rafiki na sio vingine.

My Take.

Kila kazi ina ni dhamu zake ,ni sawa wewe ni daktari kazi yako Kama daktari una kazi ya kutibu mgonjwa ,anaweza kuvua nguo zote kwa lengo la kumtibu aidha kumchoma Sindano au operation ,vyote vinawezekana ila ni kwa lengo kuu moja tuu la kumpatia matibabu ,na baada ya kumpatia matibabu kimaadili hutakiwi mtangaza alivyo ,au ugonjwa anao umwa, na hata kama uta record ugonjwa wake iwe ni kwa lengo maalumu kuweka kumbu kumbu au kujua kiasi ugonjwa ule umetawala ili kutoa Kinga na tahadhari sio kutaja fulani anaumwa .

Mashirika mengi ya Kijasusi yana vyombo vyao binafsi vya kuingilia mawasiliano ya watu nchini ili kutambua maadui ,na kutumia njia hiyo kuzuia adhari kabla ya kutokea,au kujua nyendo za mtu fulani ambaye ana lengo la kuvuruga usalama wa nchi au Taifa .

Nchi za Afrika wamechelewa kupokea vyombo hivyo ,labda ndio sababu kubwa ya kuvitumia kwa kukeuka maadili ya kazi zao.Ila wanaruhusiwa na wanaweza ku tap ila kwa matumizi yao sio ya umma.

Msiwalaumu TCRA wala makampuni ya Simu.
 
Simon Mkirene

Senior Member
Jul 16, 2019
188
250
Ila mie mpaka sasa inanipa ukakasi kuamini kama kweli zile sauti ni za kwao na kama ni za kwao basi walifanya makusudi na waliyajua matokeo yake.

Mimi tu 'kajamba nani' siwezi kumtukana rais au kumdhalilisha au kupanga mipango binafsi kupitia simu, sembuse wao ambao wengi wao ni wanajeshi na wamehudumu katika serikali wanajua in and out wajiachie kiasi kile!? Hapana kwakweli nitakuwa wa mwisho kuamini.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,385
2,000
Tafuta usome article ya " Phone tapping national leaders "Normal"

Tukio la 2013 nchini Indonesia ,Badan intelijen Negara(BIN),walivyoshutumiwa ku tap maongezi ya simu ya wanasiasa wa Australia,sikia majibu ya kiongozi Mstafu wa shirika la kijasusi la BIN , Mr.Hendropriyono alivyosema alisema "Tapping and counter tapping is quete common in the intelligence life, because it is one of their jobs "
Kwa kiswahili wanasema kuingilia mawasiliano na kuzuia kuingiliwa ni jambo la kawaida katika maisha ya kijasusi , kwasababu ndio moja ya kazi zao.

Akaendelea kusema ,mara nyingi nchi hufanya kwa wanasiasa wake wa ndani kujua yupi adui ,yupi sio adui ,pia hata ikivuka nje ya nchi ina lengo la kujua Kama nchi jirani yako uliyenaye kama ni adui au rafiki na sio vingine.

My Take.

Kila kazi ina ni dhamu zake ,ni sawa wewe ni daktari kazi yako Kama daktari una kazi ya kutibu mgonjwa ,anaweza kuvua nguo zote kwa lengo la kumtibu aidha kumchoma Sindano au operation ,vyote vinawezekana ila ni kwa lengo kuu moja tuu la kumpatia matibabu ,na baada ya kumpatia matibabu kimaadili hutakiwi mtangaza alivyo ,au ugonjwa anao umwa, na hata kama uta record ugonjwa wake iwe ni kwa lengo maalumu kuweka kumbu kumbu au kujua kiasi ugonjwa ule umetawala ili kutoa Kinga na tahadhari sio kutaja fulani anaumwa .

Mashirika mengi ya Kijasusi yana vyombo vyao binafsi vya kuingilia mawasiliano ya watu nchini ili kutambua maadui ,na kutumia njia hiyo kuzuia adhari kabla ya kutokea,au kujua nyendo za mtu fulani ambaye ana lengo la kuvuruga usalama wa nchi au Taifa .

Nchi za Afrika wamechelewa kupokea vyombo hivyo ,labda ndio sababu kubwa ya kuvitumia kwa kukeuka maadili ya kazi zao.Ila wanaruhusiwa na wanaweza ku tap ila kwa matumizi yao sio ya umma.

Msiwalaumu TCRA wala makampuni ya Simu.

Israel imeleta balaa, iliziuzia nchi nyingi duniani Software za kudukua watu basi imekuwa shida kubwa
Hata Kashoggi alikuwa akidukuliwa na mamlaka za Saudi Arabia kwa kutumia software hii ya Israel
Kwenye Software hii Usidhani kuwa Whatsapp iko salama, Jamaa wana uwezo wa kudukua maongezi hata text!
Software mojawapo ya waisrael ya kufanya udukuzi inaitwa PEGASUS
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
10,743

Basi ndio ilitumika kuwagundua wanafiki mtoto wa Bumbuli na Wa lupaso au umesahau tumerudisha URAFIKI wetu kama zamani na tumesaini treaty nao mkuu.
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,962
2,000
Israel imeleta balaa, iliziuzia nchi nyingi duniani Software za kudukua watu basi imekuwa shida kubwa
Hata Kashoggi alikuwa akidukuliwa na mamlaka za Saudi Arabia kwa kutumia software hii ya Israel
Kwenye Software hii Usidhani kuwa Whatsapp iko salama, Jamaa wana uwezo wa kudukua maongezi hata text!
Software mojawapo ya waisrael ya kufanya udukuzi inaitwa PEGASUS

Hiyo software inafanya udukuzi, ? ha ha
 
Mina cute

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,194
2,000
Israel imeleta balaa, iliziuzia nchi nyingi duniani Software za kudukua watu basi imekuwa shida kubwa
Hata Kashoggi alikuwa akidukuliwa na mamlaka za Saudi Arabia kwa kutumia software hii ya Israel
Kwenye Software hii Usidhani kuwa Whatsapp iko salama, Jamaa wana uwezo wa kudukua maongezi hata text!
Software mojawapo ya waisrael ya kufanya udukuzi inaitwa PEGASUS
Myaudi mweusi wa tz
 
kimswilia

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
1,048
2,000
Hatari sana ccm kupata access ya Cpanel sijui kama Tigo pesa ziko salama siamini tena simu nahamia kwenye email na whatspp
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom