Nani atamtupia JK kiatu, kama ilivyokuwa kwa Bush Iraq?

MovingForward

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
489
49
Miaka ya hivi karibuni tulishuhudia mwandishi wa habari kule Iraq akimtupia Rais mstaafu George W Bush kiatu akionyesha kutokukubaliana na vita vya malekani zidi ya Iraq.

Ikiwa matokeo ya uchaguzi yanaonekana kuchakachuliwa hapa TZ na watu wengi kuonyesha kutokubaliana na ushindi wa JK, je! isingelikuwa ni njia nzuri ya kupeleka ujumbe kwa JK kwamba hakubaliki kwa mtanzania hata mmoja (mwanachama wa CHADEMA) kufanya tukio la kioja kama la mwandishi wa Iraq?
 
I am sure there are more civilized ways to deliver your disappointments than "throwing shoes" or doing kioja as you call it. For example we can write articles in newspapers, we can ask those who represent us to speak for us; we can demonstrate peacefully and the like, but not violence or acts that are barbaric. Let us emulate Martin Luther King
 
Those civilized ways you are talking about, will never work with CCM!
 
Nawaomba wana Chadema chondechonde msitumie hiyo mbinu ya kurusha viatu infact hata gazeti msirushe maana kitachowapata ndio mtamjua afande Mwema na vijana wake
 
Kumpiga mtu kiatu ni dharau kubwa na ni kejeli iliyopindukia na fedheha kwa anaetupiwa lkn mambo haya ni kwa ajili ya warabu ambao wanajua nini maana ya aibu. Kwa wa africa hasa watanganyika kumpiga mtu kiatu ni jambo la kawaida tu na inawezekana hata huyo kikwete akacheka badala ya kukasirika wakati akishapigwa hicho kiatu. So hili kwa hapa halina maana yeyote, mtu atafungwa bure na wala hapati umaarufu. Musiige kila kitu jamani. Kila pahali na ustaarabu wake. Kwani si ndio nyie munaokwenda kulewa halafu munarudi munalala kitandani bila ya kuvua viatu?

Kwa africa njia nzuri ni ya maandamano hii huja na sulohisho la gnu na mwisho watu hugawana madaraka na ulaji lkn kwanza ni lazima watu wafe ktk hayo maandamano. Angalieni kenya, zimbabwe, zanzibar na sasa gini nao wamekubaliana kugawana madaraka. Ikiwa nyie watanganyika bado endeleeni kuwaachia ccm peke yao kama muna tamaa ya kua wanaweza kuandoka kwa kura.
 
Hivi yule jamaa aliyemlamba kibao Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi ameenda wapi?
 
Watanzania wanabusara na wamekomaa, hatuhitaji mawazo ya kisaliti kama haya.

Tunawasii chadema wasipigane viatu kwani mambo yataanza hivi karibuni wakianza uchaguzi wao, sidhani kama watakubali tena kupeana vyeo kifamilia na kikabila
 
Miaka ya hivi karibuni tulishuhudia mwandishi wa habari kule Iraq akimtupia Rais mstaafu George W Bush kiatu akionyesha kutokukubaliana na vita vya malekani zidi ya Iraq.

Ikiwa matokeo ya uchaguzi yanaonekana kuchakachuliwa hapa TZ na watu wengi kuonyesha kutokubaliana na ushindi wa JK, je! isingelikuwa ni njia nzuri ya kupeleka ujumbe kwa JK kwamba hakubaliki kwa mtanzania hata mmoja (mwanachama wa CHADEMA) kufanya tukio la kioja kama la mwandishi wa Iraq?

Unakumbuka katuni ya Jk na waandishi wa Tz?Tunafasari ndefu ya kupata waandishi kama huyo muirak.Wa kwetu baadhi yao ni Matumbo kwanza sioTz Kwanza!
 
Kwa kosa lipi? Hivi, Rais JMK kawakosa nini? Maana hata hamna hata mmoja hapa aliesema kosa lake la kuhukumiwa hizi hukumu mnazo mkatia. Hebu nipeni kosa moja alilowakosea JMK.
 
Kumpiga mtu kiatu ni dharau kubwa na ni kejeli iliyopindukia na fedheha kwa anaetupiwa lkn mambo haya ni kwa ajili ya warabu ambao wanajua nini maana ya aibu. Kwa wa africa hasa watanganyika kumpiga mtu kiatu ni jambo la kawaida tu na inawezekana hata huyo kikwete akacheka badala ya kukasirika wakati akishapigwa hicho kiatu. So hili kwa hapa halina maana yeyote, mtu atafungwa bure na wala hapati umaarufu. Musiige kila kitu jamani. Kila pahali na ustaarabu wake. Kwani si ndio nyie munaokwenda kulewa halafu munarudi munalala kitandani bila ya kuvua viatu?

Kwa africa njia nzuri ni ya maandamano hii huja na sulohisho la gnu na mwisho watu hugawana madaraka na ulaji lkn kwanza ni lazima watu wafe ktk hayo maandamano. Angalieni kenya, zimbabwe, zanzibar na sasa gini nao wamekubaliana kugawana madaraka. Ikiwa nyie watanganyika bado endeleeni kuwaachia ccm peke yao kama muna tamaa ya kua wanaweza kuandoka kwa kura.
. Kwa kumbukumbu zangu sisi wa Tanzania kudharau ni kupigwa na mayai viza, wadau mpo tayari tupige Yale ma BMW kwa mayai visa?
 
Nawaomba wana Chadema chondechonde msitumie hiyo mbinu ya kurusha viatu infact hata gazeti msirushe maana kitachowapata ndio mtamjua afande Mwema na vijana wake

Mhhh, msijesababisha watu tuwe tunaingia ukumbini kama msikitini!
 
Back
Top Bottom