Nani atafuata baada ya Kinana?

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Baada ya JK kumteua Abrahaman Kinana kuwa katibu mkuu wa tatu kwa kipindi cha miaka sita toka Kikwete awe mwenyekiti wa CCM, na baadhi ya watu kuona kuwa hata yeye Kinana hana kitu kipya cha kufanya zaidi ili kuinusuru CCM inayoelekea kaburini hivyo atatemwa tu ndani ya muda mchache.

Wachambuzi mbalimbali wameanza kudadisi kutaka kujua nani atafuata baada ya Kinana?
 
ni wewe ndio unaedadisi hakuna mchambuzi yeyote mungine
 
Ccm ishapoza uaminifu miungoni mwe2 kwahiyo hata kama nyerere angerudu na kukabidhiwa nyadhifa hiyo tusinge mwamini
 
Nimecheka sana kwani ninamvyomfahamu KINANA ANATABIA YA KUSUSA ni juzijuzi tu alisusa nyadhifa zake kwenye chama. Aliwahi KUSUSA kugombea ubunge wakati akiwa anpendwa na wakazi wa Arusha mjini. Sababu za KUSUSA kwake haijawahi kuwa dhahiri.. tunasubiri tune maana sidhani Kama amebadilisha tabia
 
Back
Top Bottom