Nani atachukua nafasi ya Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la wananchi Tanzania?

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Baada ya Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali James Mwakibolwa kustaafu utumishi wa jeshi kwa mujibu wa sheria na baada ya umri kutimia katika nafasi ya juu sana aliohudumu yaani Mnadhimu Mkuu wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania maarufu kama Jwtz, nani atachukua mkoba wake?,aidha, kustaafu kwa Mkuu wa jeshi la kujenga Taifa Meja jenerali Michael Isamuhyo nani ataziba nafasi hiyo?
 
Baada ya Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali James Mwakibolwa kustaafu utumishi wa jeshi baada ya umri kutimia katika nafasi ya juu sana yaani Mnadhimu Mkuu wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania maarufu kama Jwtz nani atachukua mkoba wake?,aidha, kustaafu kwa Mkuu wa jeshi la kujenga Taifa Meja jenerali Michael Isamuhyo nani ataziba nafasi hiyo?
jambo unalohoji ni verry sensitive and verry classified.... nahofia usije ukajitaftia matatzo. aana naskiaga kuna baadha ya idara huwa hazizungumziwi hovyo
 
We ndio hovyo kabisa na uoga ndio unaotuponza, hata vitu vya kawaida tu unahisi hutakiwi kuwaza, kuuliza au kutoa maoni.
ukianzisha uzi usiwe mwepesi kutoa majib makali kwa wachangiaji.... tegemea wachangiaji wenye maono tofaut pia, kwa kukusaidia chief of staff ajae anaweza kuwa Major General MR....uteuzi ukishafanyika ludi katika huu uzi wako utajua kilefu cha MR

kuna mtu alianzishaga thread kuhusu cdf ajae nlimwambia aache hizo mada akanitukana sana ila nlimwambia cdf ajae ni Lt General VB na sio Lt General MB ambae kwasasa ni ambassador wetu pale DRC kama wao walivodhan ..... baada ya uteuzi alikuja kujua maana ya VB!, usiwe mwepesi kukashifu mtu hata kama kaongea upuuzi gan mpe nafasi afafanue upuuzi wake.........
 
Baada ya Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali James Mwakibolwa kustaafu utumishi wa jeshi baada ya umri kutimia katika nafasi ya juu sana yaani Mnadhimu Mkuu wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania maarufu kama Jwtz nani atachukua mkoba wake?,aidha, kustaafu kwa Mkuu wa jeshi la kujenga Taifa Meja jenerali Michael Isamuhyo nani ataziba nafasi hiyo?

Hivi ni kwanini tunapenda kufanya mambo nyeti kama haya kuwa kama SOKA BET?

Kwa kweli sasa tumezidi. Hili ni suala la usalama ni sio siasa kwamba wanateuana tu ili mradi
 
Back
Top Bottom