Nani ataanza kustaafu soka kati ya Messi na Ronaldo?

Messi bado sana kustaafu, ogopa mtu wa umri ule kuchukua MAN OF THE TOURNAMENT mbele ya vitoto kama paredes... Maana yake ni kwamba ana muda mwingi wa kuwepo uwanjani hata utakapofikia umri (37~miaka mitatu toka sasa) wa kushindwa tena kudrible, atabaki kwenye boksi, kitu ambacho kitampeleka mpaka early 40's... Ronaldo alianza mara tu alipofika miaka 32 na anaonesha keshachoka tayari
Nimependa huu mtazamo kama messi ana miaka 34 basi ana wigo mpana wa kuongeza muda kwenye soka kama Mungu ataendelea kumpa uhai, sikupingi

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Messi na sababu inaweza kuwa majeraha. Maana alipokua barca hili jambo lilikua historia ila kule PSG eti anatangazwa ana majeraha
 
Ronaldo alishasema atastaafu akiwa na miaka 40. Kwa sasa sijui ana miaka 36!
 
Back
Top Bottom