Nani angependa kutoka na mimi siku ya valentine?

Kumbe ndo maana uliweka picha yako ili uuze kwa ajili ya VD? Na ulivyokuwa unaonekana kwenye picha nadhani utakuwa unatafuta mtu wa kukukamerunize siku hiyo ya VD.

Mkuu ile topic imeondolewa usifufue mengine bana
We mshauri namna ya kutoka siku ya Valentine
 
Kumbe ndo maana uliweka picha yako ili uuze kwa ajili ya VD? Na ulivyokuwa unaonekana kwenye picha nadhani utakuwa unatafuta mtu wa kukukamerunize siku hiyo ya VD.

Naomba Mungu akusamehe tu kwa kuwa hujui usemayo
 
Ameshakuambia anataka kutoka na wa jinsia gani?..... we mwenyewe jinsia yako ni ipi?

Babu acha fujo bana
Yeye si mwanaume????!!!! bana guess atatoka na wa jinsia tofauti na yeye
So tumuache asake bana huenda akapata humu
 
Piga piga jaramba ujiandae kutuma application na CV na ukitaja na aina ya usafiri ulio nao
Pia ukumbuke card ya ATM

Hiyo ATM si inatakiwa iwe ile .....CARD MASTERCARD? Au hata hizi nyingine.
 
Nitakupa la kwangu uzugie ila umesema mpaka sasa hivi una mindevu hujawahi kutoka VD na mtu lakini ile picha yako kidevu chako ni kipara ya kweli hayo?

Hapo nilitumia magic powder kunyoa ndevu ndio maana unaona kipara
 
Back
Top Bottom