Nani anazikumbuka ahadi 10 za Wana-TANU? Twende pamoja!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Ahadi kumi za Mwana TANU: Mnazikumbuka hizi?

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa, na dhuluma hapa nchini na duniani pote.
4. Rushwa ni adui wa haki, sitatatoa wala kupokea Rushwa.
5. Cheo ni dhamana . sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu na dunia yenye haki na amani.
8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
9. Nitakuwa raia mwema wa Tanzania, Afrika na Dunia nzima.
10. Nitakuwa mtii kwa Rais na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom