Nani anayewatuma hawa wazee kuandamana bila vibali?

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
kila uchwao nasikia maandamano ya kumpongeza raisi hasa watu ya mikoa ya kanda ya ziwa(Mwanza,Shinyanga,Simiyu na Geita) haya mambo mbona hayakwepo kipindi cha nyuma.?

Hawa wazee awamu hii ndo wameona inafaa kufanya huu uchafu tena bila aibu hadi watoto nao wanaandamana hivi kweli watoto wanapata uthubutu wa kuandamana?
Ebu anaofanya huu ujinga wa kutuma watu kuandamana kupongeza vitu wasivyovijua kama ni DAB acha mara moja acheni watoto wasome.

Hivi kweli mtoto mdogo anaelewa wapi habari za makinikia mpaka wafikie hata zakupongeza swala hili?

Wazee wasiojua hata kuongea vizuri tena wa Busega-Simiyu wanajuaje habari za "BRN" hadi wabebe mabango yaliyoandikwa"BASHITE REBUILD OUR NATION (BRN)?

Hivi wengine wakijitokeza kuandamana kumpongeza TUNDU LISU mtawakataza?

Hebu tugawane huu uhuru aliyeutafuta yuko mbele za haki kwanini sisi tuliobaki tunajifanya nchi ni ya changu changu tu utawala wako,nchi yako,na uhuru ni wako pia?
 
Unataka maandamano ya kumpongeza mbowe na lowasa, maandamano ya kumpongeza maguful hutak pole sana ewe mdek barabara il fisad lipite
 
Unataka maandamano ya kumpongeza mbowe na lowasa, maandamano ya kumpongeza maguful hutak pole sana ewe mdek barabara il fisad lipite
Bwana Manyupu hakuna asietaka nyie muandamane kumsifia bwana yule, ni haki yenu na iko ndani ya katiba.. Tunachotaka ni kuwaachia na wengine wenye mawazo tofauti na ya bwana yule, waandamane na waseme yaliyo mioyoni mwao..
 
Bahati nzuri hata wajitie unafiki kiasi gani baada ya muda wote tunalia njaa maisha magumu, waache waendelee kutumiwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapo waliotaka kuwapongeza wabunge wa upinzani, mkuu wa ccm wa wilaya akapiga marufuku..
kkkkkkkkkkkkk
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom