Nani anayesimamia mfumo wa afya unaogeuka kuwa biashara?

Maono yangu yanaonesha kuwa Huduma za afya zinaelekea kuwa biashara na sio huduma.

Nani anayesimamia mabadiliko haya ili yasituathiri miaka michache ijayo?

Sijasema tuwazuie wafanyabiashara kufanya biashara hii lakini ni nani anayehakikisha hatuingii kwenye majanga biashara hii ya tiba kama ilivyo USA?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
CCM ndio msimamizi mkuu
 
Hatuna namna kwakuwa sekta ya afya ni mojawapo ya biashara kubwa za dunia inayolipa sana na yenye faida nono maradufu
Tukitaka kufanikiwa labda tujikatae na dunia na kuwa na mfumo wetu binafsi wa afya ambao utawasaidia ruzuku watoa huduma wetu
 
Nani wa kudhibiti ili isigeuke kuwa maumivu kwa jamii?
 
Back
Top Bottom